Vifurushi vya internet vya vodacom viko juu sana

Vifurushi vya internet vya vodacom viko juu sana

karugila

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
1,275
Reaction score
687
Vodacom tunaomba mwendane na hali ya uchumi ya sasa.maana vifurushi vyenu viko juu sana .mfano kifurushi cha wiki tshs 5000 ni gb 1.yaani ukijiunga hata siku haiishi kitu kimeisha.hapa nilipo bahati mbaya mtandao wenye 3g ni vodacom tu.hebu tusaidieni
 
Yaaani bila kutafuta line ya wanafunzi wa chuo, maisha hayaendi kabisa kwa hivyo vifurushi wanavyobana
 
Voda hata voice ni ghali kwa mfano hapo chini ni vifurushi vya mwezi mitandao yote kati ya voda na airtel
1f88781381cf85d217ab312369157256.jpg
airtel dk 130/30 days kwa sh.5000
96e8552c2209d9fe5cab2fcf47d4744e.jpg
voda dk 135/30 days kwa sh.10,000
 
Voda ni ghali ila naona ndio mtandao reliable kwenye Data wengine wana bei nzuri lakini kero zake zinakufanya unarudi Voda ki unyonge tuu!
MIMI MWENYEWE NATUMIA VODACOM NIPO RADHI NITOE ELFU KUMI LAKINI NIPATE INTERNET YENYE KASI ZAIDI! Airtel nanunuaga GB moja kwa 500 lakini kwa speed take ilivyo mbovu natumia takriban mb500 kwa siku
 
Back
Top Bottom