Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nadhani watu wengi hawajui maana(logic) ya neno POST. Kupost ni kuonyesha WATU, sio kwa ajili yako. Kwahyo kila unachopost ni kwa ajili ya watu sio wewe, na ndio maana kuna sehemu ya watu...
7 Reactions
20 Replies
519 Views
Katika maisha ya kila siku, kuna jambo moja ambalo linatisha kuliko njaa, kuliko maradhi, kuliko hata kifo chenyewe—nalo ni kuishi bila kufikiri. Kuishi kama mzigo unaosukumwa na upepo wa mazoea...
1 Reactions
2 Replies
339 Views
Najjiuliza ni genetics, diet,? Ama nini? Kwa maana wadada wenye mishepu inazidi kuwa kwa kasi kulko miaka ya 90, 2000 huko
3 Reactions
44 Replies
632 Views
Boss wangu mimi kama abiria wako na nnaependa maendeleo yako kuwa makini saana ni kweli hatujui namna pesa ulipozipata ukafanya uwekezaji mkubwa maana scania 1 marcopolo inacheza bilioni 1 kasoro...
10 Reactions
17 Replies
563 Views
Ni maswali matatu ambayo yamekua yakinitatiza kwa muda sasa. Nimejaribu marakadhaa kutafakari na kutafuta majibu ambayo pengine yatanitoa kwenye kuyawaza maswali haya kuntu kwangu, ambayo ni:- 1...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Wakuu nimeuliza njia halali shortcut ya kuwa prof au kumiliki phd naona kama kwa vigezo vyangu naambiwa siwezi na ni ngumu. nimeamua kubadili gia akilini. Nataka nijipe mwenyewe ila kwa kukidhi...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Leo nimeona nitoe somo dogo kuhusu mifumo ya upoozaji, hapa nitachanya vyote kwa lugha nyepesi ambayo haipo deep sana ili lengo litimie ila kwenye comment ntakuwa naenda deep zaidi kwa yule mwenye...
5 Reactions
8 Replies
330 Views
Unawezaje kutishiwa na kitu ulichotengeneza mwenyewe AI ni kama mkusanya taarifa kwa watu wengi mfano: makalani wa sensa yaani wanapita kusanya taarifa za mtu mmoja kisha wanazikusanya...
3 Reactions
16 Replies
248 Views
Matukio ya Oktoba 29 hayakuwa ya kawaida. Ilikuwa ni siku ambayo haikuacha tu alama kwa wananchi waliokumbana na vurugu, bali pia ilifichua sura halisi ya baadhi ya maofisa wa serikali katika...
4 Reactions
6 Replies
206 Views
Mwenyekiti wa Tume ya 29 October anadai kuna Polisi 16 waliuwawa, na baadhi ya waandamanaji walikuwa na silaha za moto. Kwa kifupi, siamini maneno haya ya Chande na Tume yake. Kama ni hivyo...
6 Reactions
4 Replies
227 Views
1. The Point Of No Return and 2. The Maximum Allowed Margin for Error. The point of no return inatokea rubani akianza kuchekecha ndege ikae kwenye mstari ili aanze kushuka taratibu akiutafuta...
6 Reactions
10 Replies
350 Views
Habari za leo waungwana !. Naomba kuwauliza; kwa hili jua letu hapa Tanzania hasa Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Lindi, Mwanza, Singida, Shinyanga na Dodoma hatuwezi kuwa na kiwanda cha vyombo...
3 Reactions
8 Replies
189 Views
Anonymous (c258)
Hizi Kadi za Mwendokasi inabidi ziboreshwe, unakuta ikiwa mpya au haijapata shuruba zozote inaonesha Namba ya Card ambayo Imeprintiwa juu ya lamination... Sasa lamination ikitoka Namba ya Kadi...
0 Reactions
1 Replies
189 Views
1. Wazee, hawa ni watu muhimu sana kwako, kukaa mbali nao kunaweza kukufanya urudi nyuma kimaendeleo,fitna,majungu,ulozi na uchawi wanao so ukikaa karibu nao utajiepusha na hayo 2. Wahuni,wasera...
2 Reactions
10 Replies
290 Views
Kama utakuwa mtu wa kushinda mtandaoni basi utakuwa umebahatika kuona content za Pengo Makeke ambazo amekuwa akionesha utapeli. Maudhui hake yana ufanano na maudhui ya Kulwa Kikumba au Mr Dude...
2 Reactions
8 Replies
289 Views
Anonymous (c258)
Nimefanya kazi ya kuwauzia milango Wilaya ya Nanyumbu, Mkoa wa Mtwara tangu Mwaka 2023 mpaka sasa sijalipwa, nimejitahidi kwa kadri nilivyoweza kuonana na wahusika lakini bado hali ni mbaya...
3 Reactions
7 Replies
302 Views
Shule ya Sekondari Zanaki jijini Dar es Salaam, shule ya wasichana inayomilikiwa na serikali ya Tanzania, mwanafunzi wa kike anayeitwa Rosemary Thadei Mushi anasimama mbele ya wanafunzi wenzake...
1 Reactions
4 Replies
282 Views
Machi mwaka 2019, maisha ya Bi. Mwajuma Rajabu mkazi wa Tubuyu, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro yalibadilika ghafla. Akiwa anauza samaki pamoja na wafanyabiashara wenzake pembeni ya barabara...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ofcoz mnawachukia, mnawachukia kwa maana wamedhibiti vikagarosi wenu wanaoiletea dunia tabu na mateso. Mnawachukia kwa maana wanadaka roho za itikadi kali wenzenu. Kwanini nimchukie mtu...
1 Reactions
5 Replies
116 Views
Back
Top Bottom