Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Serikali mkoani Tanga imepiga marufuku baadhi ya wakulima waliopo katika wilaya zinazopakana na nchi jirani kuacha mara moja kuwauzia wafanyabishara mahindi ya msimu wa mvua za masika kisha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii kampuni ya AIFOLA PRIME TRADERS Ltd imeanza kazi ya kukusanya takataka za majumbaji mwaka huu mwezi wa pili na kwa sasa wiki ya pili haijachikua taka mpaka zinatoka funza. Hivi wahusika wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanabodi habari zanu, bila shaka ni wazima wa afya nyote, Hekima, Busara na Ustaarabu ni jambo jema sana kwa binadamu yeyote yule kufanya au kufanyiwa. Lakini, Hekima na Ustaarabu pamoja na...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Machoni mwangu ni mageni na hayana taarifa za kujitosheleza. Nimekuta wife kanitengea na dinner. Bei ndo imenitisha zaidi lita 1 tsh 500. Naomba kufahamishwa yanatoka wapi, ingawa yana nembo ya TBS.
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Habari wakuu, kiukweli nimekua mdau wa media kwa muda sana na kujua mazuri na mabaya ya baadhi ya media. Leo acha niongelee hii redio clouds fm juu ya mambo wanayoyafanya ambayo ni kama vitendo...
6 Reactions
101 Replies
15K Views
Habari wanaJamiiForums, Waziri wa Afya amesema uchunguzi umebaini Mwanamke (Asma Juma) aliyedai kuibiwa mtoto pacha Hospitali ya Temeke, alikua na mimba ya mtoto mmoja.
5 Reactions
69 Replies
7K Views
Utafiti unaonesha kuwa Watoto wanaonyonyeshwa kwa miaka miwili na zaidi wako katika hatari kubwa ya kupata matatizo ya meno(Ikiwemo meno kutoboka). Watafiti umebainisha haya baada ya kuwafanyia...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
1. KOLOMIJE. Inasemekana mahali hapo alifika Mzungu aliyeitwa James, hivyo huyu Mzungu akataka watu wamwiite "J" badala ya kutamka jina lote. Hivyo akawaambia CALL ME J, wabantu wakatamka...
2 Reactions
13 Replies
7K Views
Akijibu swali bungeni ni lini serikali italitambua eneo la chisinjisa kuwa ni katikati ya tanzania? Naibu waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi mh Angelina mabula alisema mpaka sasa serikali...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Wanabodi,naenda moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu! Baina yetu, ni kawaida sana kumuagiza mwanamke /mwanaume kutoka mtaa au mkoa mwingine kwa ajili ya kuspend /kutembea nae huku moyoni...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimesikitika sana na uwezo mdogo sana ulioonyeshwa na waandishi wa habari walioalikwa katika kipindi cha "Tuongee asubuhi" kinachorushwa na kituo cha runinga cha Star Television. Mfano...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wanabodi. Nimeona threads ambazo zinazungumzia jinsi waganga wa kienyeji kutoka if wanavowatapeli members. Natumia dk 5 tu kuwapa siri ya wizi huu. Kumbuka kuna waganga wataalamu kweli...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Kwa vibanda vya m-pesa visivyochangamana na biashara nyingine: Nimejaribu kufuatilia thread kadhaa zinazoongelea swala hili, hakuna niliyopata jibu lililonyooka. Ninavyofaham mm kodi katika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Watanzania ktk kusherekea Eid ya mwaka huu naona kweli walijipanga maana mpaka leo Kuna baadhi ya watoto wana endelea na sherehe za Eid kwani nini siri ya furaha hii?? Sijasikia eti bei za nguo...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Naona ITV imeanza kufuka, leo katika kipindi cha kipimajoto ITV imeanza kurudisha mashabiki wa kipindi cha kipimajoto baada ya kurusha mjadala unaokidhi viwango vya kiuandishi wa habari
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wambura (51), alitembelewa na mwandishi wa habari hizi nyumbani kwake na kuomba msaada wa Sh. milioni 25 kwa ajili ya matibabu nchini India, baada ya matibabu yake kushindikana katika Hospitali ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mapinduzi ya viwanda duniani yalitokea Marekani kwenye mji wa Detroit Jimbo la Michigan. Mji huo sasa hivi yamebaki magofu ya viwanda hivyo kutokana na madhara makubwa yaliyotokana uchafuzi wa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Tanzania (na Afrika kwa ujumla) kuna watu waongo-waongo sana, yaani haipiti siku lazima mtu adanganye tu. Kazini, mtaani, ndani ya familia kudanganya ni kama 'fashion' kwa watanzania miaka nenda...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Utalii wa ndani wadau, nataka kuanzia na mkoa wa Singida. Ni wapi nita enjoy nikiwa mkoa wa Singida? Na hasa nini kitanivutia katika utalii huu? Mwenye dondoo please tujuze.
0 Reactions
109 Replies
15K Views
Jamani, TBS, sijui nyie mnadefine vipi ubora hasa kwenye hizi sekta ya mavazi. Siku hizi zimeingia fashoon yani visuruali vinashika miguu na mapaja kiasi kwamba mimi kama rijali naona aibu. Juzi...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…