KUNDULE
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 318
- 177
Kwakweli inasikitisha sana kwa hiki ambacho star times wanatufanyia yani ni karibu wiki sasa hatupati matangazo mbaya zaidi ukiwapigia hawana majibu ya kutupa zaidi ya kujikanyaga.
Kuna tetesi biashara imewashinda na naanza kuamini.kwa style hii bora nitafute azam
Kuna tetesi biashara imewashinda na naanza kuamini.kwa style hii bora nitafute azam