Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Najua ndani ya week hii EWURA hamtaniangusha Irani Kuna vita, Iran imeshbuliwa na Israel na USA, uchumi wa Dunia unayumba EWURA mna sababu za msingi za kupandisha bei ya petroleum na diesel fuel...
5 Reactions
29 Replies
524 Views
1. Utapeli (The 40-Year Scam) Tumeaminishwa tufanye kazi miaka 40, tuweke akiba kidogo kidogo, ili tuje tuanze kufurahia maisha tukiwa na miaka 65. Huu ni wazimu wa kiwango cha lami! Yaani...
20 Reactions
37 Replies
755 Views
Hivi ndugu zangu watanzania haiwezekani kwa wasomi tulionao hapa bongo au hata wa kuazima tukazibadili daladala zilizopo na magari ya serikali yatumie gesi asilia kuliko kutegemea mfereji wa...
2 Reactions
2 Replies
150 Views
Mwanamke mwenye umri wa miaka 31, mkazi wa kata ya Cheyo, manispaa ya Tabora anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uangalizi wa matibabu baada ya kujaribu kuijua kwa kujichoma kisu tumboni kufuatia...
2 Reactions
25 Replies
502 Views
Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa (NSUK) cha Nigeria, kinatarajia kumtunuku Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, shahada ya Udaktari wa Heshima, Aprili 11, 2026. Kulingana na taarifa...
2 Reactions
6 Replies
235 Views
Imeibuka hofu kubwa inayowatesa watu kiakili. Hofu hii inajulikana kama Koro syndrome, inayomfanya mtu kuamini kuwa sehemu nyeti za mwili wake zinapotea akiguswa bega lake! Kwa mtu aliyeokoka...
4 Reactions
19 Replies
304 Views
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Lindi, Mtwara, Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba kuanzia tarehe...
4 Reactions
13 Replies
403 Views
BABA WA KAMBO; MZIMU WA KAMBO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli ANGALIZO: Mada hii ni Tata, utata wake upo sehemu Mbili; Moja, Mada inaweza kugusa Maslahi ya Watu hasa Wanawake wasiowaaminifu...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Kwenye hii post comment section nyingi imejaa maoni ya huzuni na hasira kutoka kwa wananchi wa Zambia baada ya kuona raia wao akipigwa vibaya na mwishowe kuuawa kikatili wananchi wa mkoa wa Songwe...
2 Reactions
3 Replies
147 Views
Samaki huyo mwenye mpomo au Komwe jina lake anaitwa NDUBU, ni samaki mwenye kuvutia kwa macho anapendeza mno akiwa kwenye maji. Samaki huyu ni moja ya kivutio cha watalii katika ziwa letu...
10 Reactions
30 Replies
4K Views
Jamaa kamaliza kila Kitu na wala siongezi wala sipunguzi. Halafu huko mbeleni akina GENTAMYCINE tusiotumia zozote tukiwatombeeni Wake na Mademu zenu mnatununia au kutuona Wabaya. Natamani sana...
1 Reactions
0 Replies
130 Views
unavaa nguo inayokubana,sketi fup ,transparent alafu upo ibadan,unatuonyesha nn maana sio bure unakosa mume kwa sababu ya tabia yako chafu ebu...
6 Reactions
37 Replies
583 Views
Hi👋 Kulingana na ripoti ya utafiti wa mwaka 2011,asilimia 15 ya aina za samaki wa maji baridi duniani wanapatikana ziwa Nyasa ambapo kuna aina ya samaki tofauti zaidi ya 600,huku kukiwa aina ya...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Kila mwaka kule Italia kwenye mji wa Trento, huwa wana tamasha lao ambapo wanafanya mchezo unaitwa "The Tonca". Huu mchezo unakumbushia adhabu za kizamani sana walizokuwa wanapewa watu wenye...
0 Reactions
1 Replies
129 Views
Moja ya picha ya Magufuli katika kipindi cha uhai wake ambayo ilipigwa wakati akiwa Ikulu akimuapisha Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kua Balozi na Katibu mkuu kiongozi Februali 27, 2021 Picha hii...
11 Reactions
15 Replies
546 Views
Kwa muda mrefu sana haikumbukiki ilianza lini, ilizoeleka kuwa aina fulani ya nguo au uvaaji kuwa ndiyo alama ya Uislamu. Kuvaa matarabushi, misuli, barghashia, kanzu, sandali, baibui na Abaya...
5 Reactions
15 Replies
267 Views
Back
Top Bottom