Mama mmoja mwenye asili ya Zanzibar mapema wiki hii amehukumiwa kifungo cha miaka miwili na nusu jela kwa kosa la kudanganya kuwa amekufa, ili aweze kujipatia pauni 140,000 za Uingereza kutoka...
Wadau poleni na pilika za maisha. Niende kwenye mada hapo juu, kuna shida gani ikiwa unapolala chumbani kwako au sebuleni kuiweka pikipiki ili kuilinda kutokana na sakata la wizi? Je...
Ndg Watanzania wa Kada ya HUWANYU hasa wa Mwanza HBC imefia mkononi mwa watao tenda kwa Mashirika yalio ava koti huruma na chungu kumbe ni wachuma pesa za Wafadhili tu,leo nimepata taarifa mrithi...
Nakumbuka baada ya kushughulikiwa orodha ya watumishi vyeti feki ambayo ililalamikiwa kutogusa watu mishi wote hasa wa serikali kuu, tuliambiwa kuna awamu nyingine zitakuja ambapo lnagusa wote...
Maisha magumu sana. Kila unayetaka kumkopa analia njaa!
Namshukuru Mungu nilipata kazi mjini ambayo take home yake n TZS 435,000 kwa mwezi.Ninaishi nyumba ya kupanga na kila siku lazima nauli...
Serikali haina uwezo wa kuwasomesha wananchi wote hilo lipo wazi.Kwa hiyo ni baadhi ya watu wanapata fursa hiyo adhimu ya kupata elimu.
Lengo kubwa ya elimu tunayoipata sio kuajiriwa bali kutumia...
Wakuu nahisi mwaka ujao nitaanza kupata safari za nnje sasa,nahitaji passport mapema japo sina haraka nayo sana.Naomba mnisaidie maswali haya kujaza kwenye form
1 sababu ya kuhitaji passort mana...
Nimekufuatilia kauli zako. Zote ni vitisho, manyanyaso, ubabe, nitawafukuza, nitawafunga jela etc kwa wafanyakazi. Kweli huna neno la matumaini kwa walalahoi wako masikini. Hakuna jema...
Baada ya mamlaka ya mapato kubaini kwamba idadi kubwa ya watanzania wameitikia mwito wa kulipa kodi ya majengo ni vizuri basi wakaendelea kuongeza muda ili kila mmoja wetu aweze kulipa kodi hiyo...
Gari aina ya fuso limetumbukia katika kivuko cha mto Kilombero likiwa na magunia ya mpunga.
Tukio hilo limetokea leo. Ijumaa asubuhi wakati gari hiyo iliyokuwa ikitokea Ulanga kwenda Ifakara...
Habari JF.
Naomba munielimishe kuhusu jinsi gharama (pesa) ya kulipa TRA inavyokokotolewa baada taratibu za awali za kubadili umiliki wa kiwanja/plot (iliyo na hati) kukamilika yaani baada ya...
Wakuu hiki kinachoendelea kuhusu nchi ya china kuhusu kutengeza bidhaa/vyakula feki nini kiko nyuma ya pazia?
Ni kweli China wana roho mbaya kiasi hiki?
Ni kweli China wanatafuta pesa kwa njia ya...
Sielewi kwanini TRA wanafunga vituo vya mafuta eti kwa kutokuwa na mashine za risiti badala ya kuwapiga fine huku wakiendelea kuuza mafuta. Je hawawazi ni biashara ngapi, ni magari mangapi...
Wananchi wa kijiji cha Kitanga katika wilaya ya Kasulu mkoani kigoma wamelalamika zaidi ya ekari elfu saba za mazao kuvunwa na watu wasiojulikana pamoja na nyumba zao kuchomwa kutokana na mgogoro...
TAFSIRI ya neno ulemavu hutofautiana kutoka kwa mtaalam moja hadi mwingine, kutokana na mazingira ambamo tafsiri hiyo hutumika.
Upofu ni hali ya kukosa kuona kutokana sababu za kifisiolojia au...