Nipo G mboto, kilo 2600 sukari na sembe kilo 2800Pale ulipo, tuambie unanunuaje sukari kwa kilo
Nipo Hapa Gongo la Mboto, Kg ni 2800 Tshs sukari
ndio maana pakaitwa tanga raha. hapa nilipo sukari 3,000 sembe 2,000, dona 1,400, udaga 1,100Tanga -sukari 2400 per kg ,sembe tsh 1200 per kg,dona 1000 tsh per kg