Alphonce Kagezi
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 338
- 163
Ndg Watanzania wa Kada ya HUWANYU hasa wa Mwanza HBC imefia mkononi mwa watao tenda kwa Mashirika yalio ava koti huruma na chungu kumbe ni wachuma pesa za Wafadhili tu,leo nimepata taarifa mrithi wa life project iliopita aja na mapya ila ya kushangaza kama Sio kusikitisha afuta Watoa huduma Ilemela za HUWANYU eti aanzisha formula mpya hakuna huduma kwa WAVIU aanzisha Kivuli cha kutoa huduma kwa Watoto wanaoteswa na kunyanyaswa kama ni kweli mfumo huu tutakuwa na NGOS ngapi za kivuli cha huduma kwa Watoto ,Tunali we care,fhi360 Ndio Viboko wengine wanaiga ila hawataweza waende Tunali au fhi360 wakajifunze utekelezwaji bora wa huduma za Home Based care wasianze kuwa wababaishaji na kua mazuri yaliochwa na Tunajali na fhi360 , wao wengine mlioacha mmewaweka akiba kama skari au Ndio mnalamba chenu miaka 5 upite?
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app