Matokeo ya awamu ya pili ya uhakiki Lini?

Matokeo ya awamu ya pili ya uhakiki Lini?

mahwelu

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
322
Reaction score
253
Nakumbuka baada ya kushughulikiwa orodha ya watumishi vyeti feki ambayo ililalamikiwa kutogusa watu mishi wote hasa wa serikali kuu, tuliambiwa kuna awamu nyingine zitakuja ambapo lnagusa wote ambao hawakuguswa hapo awali...

wakuu hili mbona halisikiki? au ndio tumesahau? au mimi nimesahau?
 
Sasa hivi bado tunaendelea kuhakiki ID za nida na vya kazi. Usijali tukimaliza tutawapa tu ripoti.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Kama kuna muhusika aliakata rufaa aende kwa afisa utumishi wake majibu yapo huko.
 
Back
Top Bottom