Kuna shida gani kiafya kukaa na pikipiki ndani?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,840
Reaction score
7,752
Wadau poleni na pilika za maisha. Niende kwenye mada hapo juu, kuna shida gani ikiwa unapolala chumbani kwako au sebuleni kuiweka pikipiki ili kuilinda kutokana na sakata la wizi? Je kuna matatizo kiafya kulala karibu nayo?
 
Sidhani kama kuna tatizo ndugu,haswa ikiwa imezimwa.
Ila chukua tahadhari kwenye masuala ya moto kwa sababu ya mafuta ya petroli kwenye pikipiki. Pia kuwa makini na mivujo (leaks) ikiwa ndani ya nyumba.
 
Acha uzembe ,,,,,! Hivi petrol unaifahamu ?

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
HAPANA MKUU IKIBIDI LALA NAYO KABISA KITANDANI.
IWEKEE NA BILI YA MAZIWA PIA

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Teh! Kwanini ulale karibu na pikipiki kwanza?

Wewe inaonekana ni full mtoto wa kishua. Umekulia Ushuani.

Mwenzako inawezekana amepanga chumba kimoja. Na nyumba haina uzio na kulaza ccm anaona buku ghalama.😉
 
Inawezekana...
 
Madhara ni mengi mno mkuu. Hewa ya chumbani ikiongezewa tena ya chombo hicho afya itaanza kudorora. Kwanini? Kwa sababu, huwezi kuacha madirisha wazi kuogopa hao hao vibaka, hivyo utaitumia ile jewa nzuri kidogo iliyobaki kupoozeshea pikipiki yako.
Jaribu kwa siku chache uone unavyo amka umechoka. Pili, waweza ota kuwa inaibiwa uamke ghafla na kujigongo kwenye hiyo piki piki uumie mkuu na keshoye ulale bila kufanya kazi. Ni hasara zaidi kuliko kuilaza ccm.
Ushauri;
Jiungeni vijana ka 7 hivi, mpangishe chumba chenu, mzilaze humo ili muweke lindo lenu mkipeana zamu au mfunge cctv camera humo
 
Sawa sawa, nmekupata
 
Inapunguza nguvu za kiume mkuu[emoji4]

Sent from my 1201 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom