Angalia interview ya mtanzania aliyewa kuwa wa mwisho darasani ila sasa anafanya kazi Bill Gates Foundation, you'll learn a thing or two.
Hayo maneno ya faraja tulikuwa tunatumia zamani wakati mtu akifeli mtihani wa fm4. Lakini ni maneno tu ukiyafuata kweli utafeli mtihaniMaisha yana machaguo mengi kufeli mtihani wa darasani sio kufeli maisha
Maisha yana machaguo mengi kufeli mtihani wa darasani sio kufeli maisha
Ni kweli na huwa nawaambia watu wangu wa karibu "akili ya darasani sio ya mtaani,sometimes GPA za class hazina impact yeyote kabisa huku mtaani" mafanikio yana factors nyingi sana.Nna rafiki zangu walitoka na 4.0 GPA pale UDSM lakini mkikutana wanatia huruma tuMaisha yana machaguo mengi kufeli mtihani wa darasani sio kufeli maisha
Mtihani ni sehemu ndogo sana katika muktadha mzima wa elimu kuna watu wamesoma lakini hqakuelimika lakini siku ya mtihani wakafaulu yale maswali leo hii ni maprofesa na madaktari lakini upstairs ni zero! Ni wasomi wa kufaulu mitihani sio uelewa na kuelimikaHayo maneno ya faraja tulikuwa tunatumia zamani wakati mtu akifeli mtihani wa fm4. Lakini ni maneno tu ukiyafuata kweli utafeli mtihani
Umenikumbusha Stori za Yule Prof wa KAFUMtihani ni sehemu ndogo sana katika muktadha mzima wa elimu kuna watu wamesoma lakini hqakuelimika lakini siku ya mtihani wakafaulu yale maswali leo hii ni maprofesa na madaktari lakini upstairs ni zero! Ni wasomi wa kufaulu mitihani sio uelewa na kuelimika
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ukikosea tu herufi za jina lake inakuwa matusiUmenikumbusha Stori za Yule Prof wa KAFU
Ha ha ha ha,bro mie sina milioni 7 za saiba kraimu[emoji3] [emoji3] [emoji3] ukikosea tu herufi za jina lake inakuwa matusi
[emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ha ha ha ha,bro mie sina milioni 7 za saiba kraimu
Angalia interview ya mtanzania aliyewa kuwa wa mwisho darasani ila sasa anafanya kazi Bill Gates Foundation, you'll learn a thing or two.
Angalia video. Jamaa alifeli primary ila bdae alifanya bidii hadi kuwa wa kwanza chuoni na kufanya MBA ambayo ndiyo imempa Kazi Gates foundation.Hayo maneno ya faraja tulikuwa tunatumia zamani wakati mtu akifeli mtihani wa fm4. Lakini ni maneno tu ukiyafuata kweli utafeli mtihani
"Fright not thyself because of...... doers, neither be envious because of work of enequity!!!" by Peter Tosh.Elimu ya darasani inakusaidia tu kupata mwongozo wa baadhi y vitu ss kazi inabaki kwako kuitumia elimu Hiyo kutafuta mafanikio, na swala la mtihan ni kwamba yy alishindwa kufananisha majibu yke na Yale ya anayesahisha mtihan wke ndo mana wakasema amefeli, Lakini kwakuwa yy ni mjanja bac Yale majibu kayafananisha na ya mtihan wa maisha bac kafanikiwa
si kweli Watanzania acheni kudanganywa na hawa ma lobbyist, Benjamin Fernandes is not coming from an ordinary family wala ulokole ambao ni wa kawada tu. Kumbukeni baba yake ni bonge la lobbist na selfish man. watu wenye mafanikio ni waongo sana hawaelezi ukweli, huyu baba mfuatilieni tangu alipoanzisha huduma hii pale ukumbi wa sinema mjini, watumishi aliopita nao katika huduma na wengi aliwafanya nini hadi kubaki na mkewe kama pastor, jiulizeni hiyo miujiza anaipataje peke yake wakati washirika wake hawana anything to tell about. Huyo mtoto kapiganiwa kufa na kupona kufika hapo huku akitumia activities za kanisa zinazofanywa na watumishi wake kujifanya ni innovation na kipaji cha mwanaye, hebu muulizeni vizuri awepo proof, shule alizosoma za hopac hakupata kwa akili bali upendeleo maalumu kwa watoto wa wahudumu wa kikristo, haja compete na watoto wa kawaida wa kitanzania huko anakopita sio kwa akili ni viti maalumu sawa na ma baby wetu wa bungeni shit' mtu asiwadanganye education may not be the key to success but is an enable to success, bila shaka angekua mgagagigikoko kama sisi asingeishia kuajiriwa na Bill Gates bali tayari kuwa na kampuni yake mwenyewe, kama kweli ni walokole apinge niliyosema niseme yote, god is truth si udanganyifuHayo maneno ya faraja tulikuwa tunatumia zamani wakati mtu akifeli mtihani wa fm4. Lakini ni maneno tu ukiyafuata kweli utafeli mtihani