Si ungesema tu kuwa haifanyi kazi kwenye windows ten yako? maana hujafanya utafiti kwenye nyingine.Wakuu,
3G USB modem mpya (D6602) za Halotel hazifanyi kazi kwenye Windows 10.
Chukueni tahadhari kwa sababu hupewi taarifa wakati unanunua.
Nimetoka makao makuu ya Halotel sasa hivi. Wamethibitisha kwamba ni kweli kwa sababu nilifikiri tatizo ni kompyuta yangu.Si ungesema tu kuwa haifanyi kazi kwenye windows ten yako? maana hujafanya utafiti kwenye nyingine.
Kama hivyo basi sawa, Hivi Halotel nako kuna watu wa IT?Nimetoka makao makuu ya Halotel sasa hivi. Wamethibitisha kwamba ni kweli kwa sababu nilifikiri tatizo ni kompyuta yangu.
Sent from my HTC One M9 using JamiiForums mobile app