Aaron
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,019
- 4,693
Wana bodi.
Pamoja na mambo mengine nimeshindwa kuielewa management ya startv na sahara media kwa ujumla.. Ikumbukwe baada ya uchaguzi mkuu 2015 kituo hiki cha tv kimepitia magumu mengi ikiwa ni pamoja na kudaiwa kodi na tra pamoja na tcra pamoja na kushikiliwa kwa acc yanke na kutishiwa kuzuliwa kutoa matangazo.
Zaidi ya hapo iliyumba kiuchumi na kusababisha watumishi wake kushindwa kulipwa mishahara yao zaidi ya miezi mitano... Hali iliyo sababisha watangazaji wengi mahili kukimbia kituo hiki na kujiunga na vituo vingine vya utangazaji.
Sasa wamejichimbia kaburi ambalo hadi watoke itakuwa miaka kadhaa...wanajaribu kufanya kazi ya tbc wakisahau tbc hata kuwepo na utawala gani bado itaendeshwa kwa kodi zetu.
Mbona mnashindwa kujifunza??? Hivi tbc wanaweza kuwa walimu wenu... Mbona itv anapendwa na pande zote pamoja na uchumi kuyumba bado ana survive kwenye soko.
Sasa nyie mshauri wenu wa kiuchumi ni nani..nani anafanya tafiti ili kujua jamii inataka kusikia nini ili muweze kuwa na idadi ya watazamaji na wasikilizaji wengi ambapo makampuni mengi yatavutiwa na kuwapa matangazo? Kuachana na itv jifunzeni hata kwa clouds media pamoja na
udogo wao bado wanapata mapato mengi kutokana na ubunifu na kujua jamii inataka nini...
Sasa la juzi kumruhu mtu aliyekatilwa na jamii nawahakikishia hata kama serikali itawasamehe madeni na kujiendesha bila kulipa kodi nawatabilia anguko kubwa na mtapotea kwenye sura ya dunia.