Wananchi wa Kata ya Mawenzi, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wamelazimika kuunda vikundi vya ulinzi katika mitaa yao nyakati za usiku kwa lengo la kutokomeza biashara ya uchanguduo na...
Wakuu,
Nipo hapa katika eneo la Nera ilipo bandari ya meli za abiria zitokazo Mwanza mjini kuelekea wilayani Ukerewe. Abiria zaidi ya mia nne wamebaki baada ya meli ya MV Nyehunge kusemekana...
Gazeti kubwa Uingereza la Daily Mail limetangaza mechi ya Gor Mahia VS Everton mubashara kupitia tovuti Yake .
Kitu cha kushangaza ni kuuita uwanja wa Taifa wa Tanzania kama "Nairobi City...
Baada ya jana Baraza la Mitihani kutangaza matokeo ya kidato cha sita, kumetokea sintofahamu kwa wazazi na walezi wa waliokua wanafunzi wa shule za sekondari za Mtakatifu Vicent ya Tabora na...
Kapanda jamaa mmoja kwenye daladala moja ktk viunga vya jiji pendwa na tamaniwa dsm nikadhani ni mtendaji au afisa wa serikali au mwanausalama akituhakikishia usalama raia Mule kwa ile kaunda...
Binadamu tumekuwa tukipambana huku na huko katika harakati za kutafuta mafanikio katika maisha na mtu akishayapata huanza kumaintain ili yasishuke, sasa ndio tayari umeshapata mafanikio so what...
WAZIRI wa Nchi anayeshughulikia Uchukuzi nchini Uganda, Bagiire Aggrey Henry, ameusifu Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) kwa namna unavyosaidia kurahisisha huduma ya usafiri jijini Dar es...
Jana kulitoka taarifa kuwa mashindano ya ndondo cup yamezuiliwa kufanyika katika uwanja wa bandari kama ilivyopangwa awali hivyo yatafanyika uwanja kinesi.Wengi wanamtumia lawama RC wa Dar lakini...
Habari?
Leo nimeyakumbuka majani tuliyokuwa tukiyaita 'kimavimavi'
Yananuka kama au kuliko kinyesi cha binadamu hasa ukiyasugua (kuyafikicha)
Tuliyatumia kwa matumizi mbalimbali utotoni...
Maaskofu wa Kanisa la Anglikana Jimbo la Tanzania waliokutana kwenye kikao cha Baraza la Maaskofu, wamemkataa Askofu wa Dayosis ya Victoria Nyanza, Boniface Kwangu na kumtaka ajiuzulu kazi hiyo...
In Summary:
-Everton wameona Ucheleweshaji Katika kuunganisha ndege
-wingi wa Pikipiki na Honi zinazopigwa hovyo Hovyo
- Jiji la Dar es Salaam Lina Joto Kali na Kelele nyingi.
- Jiji la Dar es...
Waziri Maghembe alikabidhi tuzo hiyo juzi jijini Dar es Salaam na kusema serikali inatambua mchango mkubwa alioutoa, Dk. Goodall, katika uhifadhi wa sokwemtu pamoja na wanyama wengine.
Alisema...
An active volcano in northeastern Tanzania known to the Maasai as the “Mountain of God” has been quietly rumbling—and it is showing signs that an eruption is imminent.
Known as Ol Doinyo Lengai...
Kwa wale wakristo wenzangu huu Uzi ni maalumu kwa kutafakari Neno ,
Weka Neno la bwana hapa tutafakari kwa pamoja,
Weka mafundisho yenye hekima ili tuweze kuijenga Roho ile aliyotujaria muumba...
BIASHARA ya magendo ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kutokana nchi jirani ya Kenya, imeonekana kushamiri katika wilaya za Tarime na Rorya mkoani Mara, ikiwa ni siku chache baada ya Mamlaka ya...
nlikua kimya kwa muda kidogo baada ya kuona ile dawa ya mwanzoni ina mchanganyiko wa vitu vyenye gharama kubwa sasa nimekuja na dawa yenye mchanganyiko mwepec kuuandaa na mwepesi kuutumia
kwa...
Kama tunavyojua maji ni bidhaa adimu na ni pesa. Katika karne hii maji sasa hivi yanauzwa kwenye chupa, maji yanauzwa kwa wateja iwe Mijini au Vijijini hivyo maji yana thamani na ni pesa. Maji...
Ni zaidi ya siku tatu toka tujulishwe kuwa ofisi za Sahara Media (wamiliki wa Star Tv, Radio Free Africa, Kiss Fm) zimefungwa na mamlaka ya ukusanyaji kodi (TRA) kwa kushindwa kulipa kodi kwa muda...