Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau, mimi ni mjasiria mali ambae nilikuwa nataka kufungua kampuni yangu, kwa utaratibu wa BRELA unatakiwa ulete proposal ya jina la kampuni yako na system yao inafanya search ili kuhakiki jina...
0 Reactions
3 Replies
981 Views
Mfano upo kazini, na labda muda mfupi uliopita ulikuwa shule unasoma kozi fulani. Uliokuwa unasoma nao ambao hawatokei kazini ukamaliza nao kozi hiyo na ajira zikatoka kwa wale wanaotokea shuleni...
0 Reactions
7 Replies
939 Views
(NBAA) BODI YA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA HESABU TANZANIA TAARIFA KWA UMMA KUFANYA KAZI ZA UHASIBU AU UKAGUZI WA HESABU BILA KUSAJILIWA NA BODI Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA)...
1 Reactions
26 Replies
9K Views
Feza Girls yaongoza kitaifa Matokeo ya kidato cha sita 2017 Kwa ufupi Feza GirlsMarian BoysKisimiriAhmesMarian GirlsMzumbeSt Marry Mazinde JuuTabora BoysFeza Boys10.Kibaha Zanzibar. Matokeo ya...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Kama jina lake lilivyo! Bahari mfu ama dead sea ni kama ziwa kubwa sio bahari na ina kiwango kikubwa cha chumvi inayoweza kumfanya mtu aelee! Chumvi yake ni 35% mara kumi zaidi ya chumvi ya maji...
19 Reactions
34 Replies
11K Views
Muingiliano huu wenye mipaka mwembamba mno ni jambo linalotekea lenyewe(automatically) yani mhusika hana amri juu yake! Kwamba kwenye mwanga utafunga macho(giza) na kwenye giza utafungua...
4 Reactions
23 Replies
5K Views
Naandika uzi huu kwa woga mkubwa kwamba hapa Msata nilipo muda huu, watu wabaya wakiamua kunivamia na kuniua nitaweza kujinusuru kweli? Uzalendo kwa Taifa ni tunu ambayo wengi hawana... Na...
30 Reactions
104 Replies
9K Views
Nashangaa watu wanatokwa mapovu Mara Magufuli ni chaguo la mungu Mara anatetea wanyonge Mara anatetea rasilimali za nchi Mara mzalendo Mara aongezewe muda wa kuongoza wakati hata miaka 2...
18 Reactions
55 Replies
4K Views
wanawake wanajua kuchambana kwakweli duh.... wewe verse ipi umeipenda? Ocol rejects the old type. He is in love with a modern woman, He is in love with a beautiful girl Who speaks English. But...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadu kama kichwa cha habari kinavyojipambanua. mimi ni mwalimu niliyejiajiri. Nimeanzisha kituo cha elimu ya watu wazima(wale wanaosoma open and distance learning-ODL/QT na private candidates/pc)...
1 Reactions
1 Replies
867 Views
Akizungumza katika mahojiano maalumu na Nipashe jana, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Rober Boaz, alisema kwa kuanzia, wanamtafuta kwa udi na uvumba mtu aliyerekodi video...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali ina wajibu wa kuboresha mandhari ya bandari na huduma zake ili kuendelea kuwa msaada kwa nchi...
0 Reactions
4 Replies
783 Views
HALI ya mwenendo wa kubadilika badilika katika sekta ya mawasiliano ya simu ndiyo sababu ya msingi ya ubunifu na uboreshaji endelevu katika namna ambavyo waendeshaji wa mitandao ya simu...
0 Reactions
4 Replies
857 Views
Ukikunywa vikombe vitatu vya kahawa kwa siku unaweza kuishi miaka mingi, kwa mujibu wa utafiti uliofanyiwa karibu watu nusu milioni kutoka nchi 10 za Ulaya. Utafiti huo uliochapishwa kwenye jarida...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
hamjambo ndugu wote mulio huku ndani msaada kidogo katika hili mimi nna kiwanja kilichopimwa sqm 400 sasa kulingana na hali ya uchumi nimeshindwa kuanza nyumba kubwa yan my dream house sasa...
0 Reactions
5 Replies
820 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojinasibu, Nimeona Masamaki na wenzake wameachiwa huru na alikuwa na kesi ya uhujumi wa bil 12 (so anakwenda kuzitumbua vizuri tu) nimeona Liyumba alivyokwimba...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Jana usiku mishale ya saa nne kasoro usiku walitokea watu sita waliojitambulisha askali, walikuta kinyozi akinyoa na baadae mdada akascrab. Walipoingia saloon hawakutambua mtu walimhitaji...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Masamaki na wenzake 5 waliokuwa wameshitakiwa na serikalini kwa kosa la kuhujumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya sh. Bil 12.7 wameachiwa huru, Sasa Ina maana upotevu wa hizo pesa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, itifaki imezingatiwa. Hii imeniacha na mshangao ukishabiana na maswali kadhaa, hivi "wamasai" ni kama wanyama ambao watalii huvutiwa nao kuja kuwatalii? Hivi wamasai wamepewa status...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika siku, week na miezi ya hivi karibuni Tanzania tumebahatika kutembelewa na MaCelebrity wengi, ndio nasema wengi kwani hapo kabla ilikuwa nadra sana kutembelewa na jamii hii ya watu maarufu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…