Kutokana na hali ya kupanda kwa bei ya mafuta duniani, inayochangiwa na mvutano unaoendelea huko Iran, wadau wa sekta ya usafirishaji nchini wanakumbwa na changamoto kubwa za uendeshaji.
Mnamo...
Bei ya betri za magari yanayotumia umeme (EV) kwa mwaka 2026 inakadiriwa kuwa kati ya TSh milioni 14 na TSh milioni 56 ($5,000 – $20,000), ikitegemea ukubwa wa gari na uwezo wa betri.
Ingawa...
Kama kuna ndoto uliiota na ukakosa furaha kwa kutokujua maana yake itaje nitakuambia maana yake.
Hata kama hiyo ndoto umeisahau kwa Roho wa Mungu nitakukumbusha na kukutajia maana yake.
Hii ni...
Wakati mkutano wa tatu wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania ukiendelea, leo Aprili 9, 2026 pamoja na mambo mengine Wabunge wateule wawili wataapa kiapo cha uaminifu na ahadi ya Uzalendo...
Katika dunia ya leo, hotuba ya kiongozi si maneno tu—ni taswira ya taifa, dira ya wananchi, na wakati mwingine ni ujumbe wa kimataifa unaobeba heshima au aibu ya nchi.
Ndiyo maana inapotokea...
Kuna kijana mpigapicha nchi jirani kaipeleka mahakamani kampuni kubwa ya kuuza maji kwa kutumia picha aliyoipiga bila ridhaa yake.
Picha yenyewe ni ya mtu anakunywa maji yanayotengenezwa na hiyo...
A:UPANDE WA WENYE HAKI
Mith 11:20
Tunaitwa kuwa wakamilifu katika utume wetu, tukitenda yatupasayo, katika njia sahihi. Ni katika kuwa wenye haki tu ndipo tutaweza kuurithi uzima wa milele...
Nawaza hapa kwa sauti. Kwa nini tusingenunua oil tankers badala ya ndege za abiria? Leo tungekuwa wachuuzi wakubwa wa mafuta yaliyokuwa refined huu ukanda. Inaweza kuwa na faida tukanunua oil...
Maeneo ambayo Mungu anaweza Kuzungumza na wewe.
Mungu anaweza kuongea na binadamu kupitia ishara mbalimbali na unapoelewa basi unakuwa umesikia sauti ya Mungu.
1. Kupitia ndoto, Hii ni njia...
Kuna kitabu ukikisoma kutokana na utamu au maudhi yake unavutiwa kukiazima au kukinunua.
Yaani huwezi poteza kumbukumbu kwa haraka. Iwe ni hadithi (riwaya, tamthilia,) ushairi.
Mf. Hiki kitabu...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) leo April 8 imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zitaanza kutumika rasmi kuanzia kesho Alhamisi April 9 2026 ambapo bei ya Petrol...
Guys guys
Hii nchi kwani haina mwenyewe. Mamlaka hukimbilia kupandisha bei tu pale mafuta yanapopanda bei.
Je ni kwa nini huwa hawafanyi review mara baada ya mafuta kushuka bei? Sasa wanajipanga...
Mimi kama mdau mkubwa wa riadha ninaandika kwa huzuni kutokana na malalamiko ya watu kuhusu mbio za Akili Education Marathon. Walioshiriki wamejitokeza hadharani na kutupa lawama za kutosha kwa...
Mlioko DODOMA yule mtumishi wa Mungu wa ukweli mwenye nguvu kubwa moto wa Mungu unaounguza wachawi wote na kuwafungua wale wote waliotupiwa uchawi,majini ,mapepo ,laana na kuibiwa nyota...
mbaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu.” Wakolosai 3:5.
"Na hao walio wa Kristo Yesu wamesulubiwa mwili Pamoja na Mawazo yake mabaya Pamoja na tamaa zake." Wagalatia 5:24.
Ni wazi kwamba...
Karibu mtu wa Mungu uweze kutoa ushuhuda wako utushirikishe ushuhuda wako wa jinsi ambavyo BWANA wetu YESU KRISTO amekuokoa kutoka katika nguvu za giza na kukuhamisha kukuingiza katika ufalme wa...
Yon 2:7 SUV
[7] Roho yangu ilipozimia ndani yangu, Nalimkumbuka BWANA; Maombi yangu yakakuwasilia, Katika hekalu lako takatifu.
Sisemi siku nyingine tukiwa katika raha tusimkumbuke Mungu wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.