Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni masikitiko kwamba tokea juzi mitandao ya simu iliyvyopigwa faini kwa makosa mbalimbali tayari maumivu yameanza kwa sie watumiaji wa huduma hizi. Mfano mzuri ni hawa Halotel. Tokea juzi...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu, kuna baadhi ya watumishi huku Meru, nikiwemo mimi mwenyewe tumepata ongezeko fulani katika salary ya mwezi huu. Kuna watu wamepata mpaka ongezeko la Tsh. 55,000 kwenye salary zao. Sijui...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hili jambo wengi sana hulibeza, wanalichukulia mzaha lakini si mzaha ndo uhalisia ulipo. Zipo njia mbili tu za kukufanya utajirike, wala usidanganywe na mtu au kujidanganya mwenyewe eti ni...
0 Reactions
25 Replies
15K Views
1. Je anazikumbuka ahadi zake zote ambazo alizitoa kwa mikogo yote / sifa zote siku chache tu baada ya kuteuliwa Kwake kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam? 2. Je anaweza kutaja ambazo kweli...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari za jioni wanafamilia. Ni vizuri tukapata takwimu ya matukio yanayoendelea kutokea duniani papo kwa papo Mpaka sasa idadi ya watu duniani ni zaidi ya bilioni 7.5,zaidi ya watu bilioni 3.68...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Salary out lakini hakuna nyongeza yoyote. Acha tuisome 1 3 47889
4 Reactions
101 Replies
15K Views
mambo yanayomfanya mtu asome kwa bidii ni pale anapoona aliyesoma anakuwa na maisha mazuri mfano utamwambia nini mtoto wa mfugaji ambaye baba yake anafoleni ya walimu kwenda kuomba pesa za riba...
0 Reactions
4 Replies
849 Views
Wataalamu wa madini naomben mniambie haya ni aina ya madini Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
3K Views
KIBITI SHWARI, ANAYETAKA NA AENDE – ACP MWAKALUKWA Msemaki wa Jeshi la Polisi, kamishina msaidizi wa Polisi (ACP), Barnabas Mwakalukwa, amesema hali ya usalama katika wilaya za Mkuranga, Kibiti...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania wenzangu na wana JF, Naipenda nchi yangu ila kuna kitu kinanitatiza muda mrefu na kunikera sana. Watanzania tuna tabia kuchangishana michango ya harusi mikubwa mikubwa...
5 Reactions
33 Replies
4K Views
Walianza waarabu wakatupiga bakora, wakatufunga Minyororo wakapiga dili zao wakaondoka. Waliobaki ambao wachache wengi wao ni watanzania wenzetu na wapambanaji katika biashara lkn kwa viwango...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano – Sekta ya Mawasiliano Mhandisi Angelina Madete alipokuwa akifungua warsha kuhusu uanzishwaji wa Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Serikali imelifungua tena Gereza la Kitengule lililoko wilayani Karagwe lililofungwa septemba 18, mwaka jana baada ya kubolewa na tetemeko la ardhi lilitokea mkoani Kagera na kusababisha madhara...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Are we there yet? PayPal Chief Executive Officer Dan Schulman is looking for new customers in Vodafone’s 454 million users and America Movil’s 286 million subscribers. Schulman is scheduled to...
2 Reactions
4 Replies
771 Views
Leo nimetembelewa na rafiki yangu kipenzi Zurie, amenikumbusha kisa kitamu sana cha Karume Kenge. Ni wangapi mlikisoma hiki? Tukumbushane mafunzo yake humu.
6 Reactions
20 Replies
12K Views
Tanzania imetajwa kuwa kivutio kizuri cha safari za watalii Barani Afrika kwa mujibu mtandao wa Safari Bookings.com ambao ndio mtandao mkubwa wa ukuzaji wa safari za Afrika. Mtandao huo ulifanya...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari za mida wakuu, Najiuliza tangu juzi kumekuwa mtandao wa simu kwenye upande wa internet kuwa slow maana nna line 3 za simu tofauti na mara nyingi nakuwaga katikati ya mji so huwa natumia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Kilimanjaro
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…