Magangad
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 837
- 356
Mtumishi waumaa kazi yake ni kutekeleza yale yaliyomo kwenye mkataba wake wa kazi na mengine ya msingi atakayopewa na mwajiriwake. Je, wajibu wa mwajiri ni nini? nikulinda haki za mtumishi wa umma ikiwa pamoja na makubaliano yaliyo kwenye mkataba ambao umeainisha maslahi yote, sasa mwajiri akikiuka taratibu za mtumishi wake walizo kubaliana kwenye mkataba, ANAFANWEJE?