Mshahara umemliza mke wangu

Mshahara umemliza mke wangu

Alitegemea ataongezewa mwezi huu ,amekuta hakuna kitu hata senti haijaongezeka .

Nimejitahidi sana kumsihi asilie , kwa sasa amenyamaza ,lakini kila nikimuangalia usoni sioni tena kama ana furaha .Sura yake imepoa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
smilie 2.jpg
 
Mkuu mfungulie kabiashara kengine kadogo afanye, maana yake inaelekea angependa kuwa independent watu kama hawa wakipata kidogo inawa humiliate, asije akajiua Bure mtoto wa watu, lol
 
Kkkk,aseme kwani anakujua nani humu

Huyu mkuu ni yeye sema hataki kuonekana kuwa ni yeye, ila mdukuzi mie nishamstukia, ila huyu babake bashite kazingua Sana, mie mshua wangu yupo huko serikalini moraly yake ya kazi haipo kabisa aisee, amebakiza miaka 2 astaafu anatamani hata sass hv ajisepee kwa namna mambo yalivyokuwa vululuvululu huko kazini kwao, ufanisi wake umeshuka sana wakati kimsingi ni hard worker hatari
 
Back
Top Bottom