Wapi wanakaanga kiti moto vizuri hapa Moshi ?

Wapi wanakaanga kiti moto vizuri hapa Moshi ?

mbalila

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
825
Reaction score
161
nauliza kwa hapa Moshi mjini nitapata wapi kiti moto safi ya kukaanga ?
 
sijui hata kama Nnitalala,niko addicted na mnyama!
karibu 99.9% ya baa za moshi hii kitu safi unapata
 
asanteni wakuu leo nitafuatilia maelekezo yenu ,jamii forum ni kila kitu
 
Back
Top Bottom