Kuna mgao wa umeme

Kuna mgao wa umeme

singojr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
5,315
Reaction score
6,896
Toka juzi maeneo mbalimbali ya Dar es salaam umeme umekuwa ukikatika mara kwa mara jambo ambalo hatukuwahi kuliona kabla kwenye utawala wa awamu ya tano.
Je, ni matatizo ya kiufundi au ndio yale ya kuzimwa kwa mitambo ya IPTL?
Kama ni ishu ya IPTL vipi kuhusu ongezeko la viwanda vilivyozinduliwa mwezi uliopita si uhaba utaongezeka kwa kasi?
Je, lengo la serikali ya viwanda litatimia?
 
IPTL Hua inawashwa umeme ukpungua I. E kwenye mabwawa ya maji so wao si sababu walikua wanalipwa milion 400 kila sku kwa kuweka vyuma vyao pale tegeta tu na mwaka unaweza kupta bila maji kupungua na vyanzo vingne hvyo waambie walikula vya kutosha waondoke tu huo ulkua mkataba mbovu kupndukia acha wafungashe vrago tu...Stglus project itakuja kumaliza tatzo lote
 
katuni-itv-30-and-31-march-09.jpg
 
Back
Top Bottom