Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Redirect
Muliwaua malbino sasa mumehamia ikulu za wanaume,yaan wachaw mna tutakia nn jaman maana hata sielewi.kwanza hil la ikulu mmetuonea jaman, hamtaki tuzagamuane sasa nani atazalisha wake zetu.......?
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Wazee wakiwa wanaiba wanafanya kama hivi wanapoza makali
1 Reactions
– Replies
– Views
Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imesema ujenzi wa moduli ya kupokea na kushughulikia malalamiko na rufaa katika mfumo wa NeST utachangia kuongeza uwajibikaji, uwazi na ufanisi kwenye...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Habari zenu wadau na wenyeji wa miji hiyo niliyoitaja. Ni hivi kwa sasa Niko Dar es Salaam Natamani kuhamia katika miji hiyo Mimi na familia yangu Shughuli zangu zikitegemea UFUNDI SIMU AINA...
0 Reactions
53 Replies
13K Views
Baada ya kuhangaika kwa miaka 10 katika hospitali mbalimbali bila mafanikio, Hussein Ayubu shuhuda aliyetibiwa na kupona Muhimbili (MNH) anasimulia namna alivyokua na shaka kutokana na maneno ya...
2 Reactions
2 Replies
231 Views
Hili la faini sijawahi kulisikia, nalipata tu kupitia video ya mwanajeshi mstaafu. Kitu ninachokijua kwa uhakika ni kwamba Mkuu wa kituo cha Msimbazi hupelekewa pesa kila siku kutoka kwa bodaboda...
3 Reactions
12 Replies
227 Views
Wakuu Salaamu! Nimekuja nikiwa na maswali kuhusu yanayoendelea kuwatesa Watanzania wenzetu
1 Reactions
1 Replies
262 Views
Dini ni utaratibu aliouanzisha mwanadamu katika kumtafuta na kumuabudu Mungu wake.. ila YESU ni Mungu aliyejinyenyekeza kujishusha kuvaa mwili wa mwanadamu,kuzaliwa kimasikini katika zizi la...
2 Reactions
4 Replies
182 Views
Kwanza nawapongeza UTPC kwa kupata fedha ambazo pia zitatumika kulipa waratibu. Hilo ni jambo jema sana hakika mnstahili pongezi. Lakini kilichonileta hapa ni baada ya kupokea barua kutoka UTPC...
0 Reactions
1 Replies
147 Views
Kwa mfano huyu 'Bodigadi' wa 'IPM' mbona anaonekana kabisa nikiilenga vyema Ngumi yangu anaamkia Mochwari?
2 Reactions
2 Replies
106 Views
Kuku angekua mkubwa kama n'gombe lazima tungeshika adabu kwasababu wana ubabe na ukorofi mwingi usio wa lazima. ukiwaweka kuku pamoja lazima waonyeshane uwezo wa kupiga na anayepiga zaidi lazima...
1 Reactions
2 Replies
138 Views
Tumezoea kuona ama kusikia noti bandia lakini si sarafu bandia.. Kwa sehemu kubwa sana noti bandia zimedhibitiwa japo ni biashara inayoenda na kurejea kila wakati Sasa naona hawa wenye hii...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Hizi ni ndoto na maana yake katika maisha yako. Katika Maisha ya binadamu Mungu utumia ndoto kama sehemu ya kuelezea hali ya binadamu wakati uliopo na wakati ujao. Mungu usema na binadamu...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Nimeona tangazo LATRA inataka kukaa na wadau ili nauli zipande heti! Hii Nchi hawa viongozi hawana huruma na wananchi au? Mafuta yashaanza kushuka huko duniani, wao wanawaza kupandisha nauli.
3 Reactions
21 Replies
601 Views
Anonymous
Habari za Leo wakuu, Mimi ni mkazi wa Kigoma Ujiji. Napenda kutoa malalamiko ya wakazi wa Kata za Majengo na Machinjioni - Kigoma Ujiji. Sisi wakazi wa maeneo tajwa tunaishi maisha ya wasiwasi...
0 Reactions
1 Replies
221 Views
WAFANYAKAZI wenzako, marafiki wa maeneo unayofanyia kazi, wafanyabiashara wenzako ni nyoka hatari kwa maendeleo yako. Mucheke, mupige kazi urafiki wenu uishie juu kwa juu. Achana na mambo ya...
15 Reactions
21 Replies
573 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…