Habarini wana jamvi, kwa mwezi huu wote nimekuwa bega kwa bega sana na kupitia FORUMS za Jamiiforums na kuangalia maada mbali mbali zilizojadiliwa, maoni ya watu kwa maada husika, mchango wa...
Napenda kujuzwa wakuu, inakuwaje kunakuwa na tofauti ya ngazi ya mshahara baina ya Kada moja na nyingine ili hali ngazi ya Elimu inafanana, mfano Mhitimu wa ngazi ya Diploma fani ya...
Wakuu,
Nimesoma kwenye social media eti waganga wa kienyeji wa Tanzania wanamiminika katika nchi jirani ya Kenya ili kuwasaidia wanasiasa wa nchi hiyo kushinda uchaguzi nchi humo .
Wajinga ndio...
Watanzania wenzangu na wana JF kuna swali limekuwa likinikera miaka mingi bila kupata ufumbuzi nikaona nilichomeke hapa nipate mawazo ya watu mbali mbali bila ubaguzi.
Mimi ni mzalendo wa nchi...
Habari wanajamvi,Juz Kati nilitaka kusafirisha mzigo wangu ambao ulikua Ni zawadi kwa Jamaa Yangu ambaye anaishi nje ya nchi.Ilikua Ni kinyago kimoja Na frem ya picha yenye vinyago vidogo...
nilipata passport muda mrefu kidogo ila ilikosewa mwaka wa kuzaliwa then sikuona umuhimu sana wa kubadilisha sababu nilikua na safari ya haraka nikaitumia kwa muda kama miaka kumi sasa nataka...
Ajira ya utumishi wa uma ni low risk employment na kikanuni za finance, the lower the risk the lower the return.
Hivi majuzi kuna jamaa yangu mmoja amepata kazi ya mshahara wa milioni kumi, ila...
Wakuu,
Mimi ni mdau mkubwa sana wa social media. Moja ya watu niliokua nawafuatilia sana, ni Millard Ayo. Yaani kwenye page zake za Twitter, Instagram Facebook na kwenye website yake ya...
Wana JF
Tunaomba tupate watu 4 tu wenye tatizo la athma ili tuwatibu bure ila vigezo na masharti kuzingatiwa. Lazima uwe serious na uwe na ushahidi wa kuwa na tatizo hilo. Ifahamike kuwa...
ACCORDING TO Rushton’s Race, Evolution, and Behavior fully modern Homo sapiens emerged in Africa 200,000 years ago. 100,000 years ago, a small group of Africans had a sudden urge to head north...
Kwanini siro hakemei neno nyumbu?
Je kuitwa nyumbu ni sifa kwa mwanadamu?
Je siro anavyokataza maneno ya uchochezi je neno nyumbu halikemei kwa kuwa kwenye kamusi ya kiswahili neno nyumbu ni sifa...
[http://dxzccmtp98vpc]
Swala la usafiri hasahasa kwenye miji mikubwa ni hitaji la kila siku pale ambapo una ishu zako za hapa na pale, ishu kubwa pia kwenye miji mingi ya Afrika ni kulipia bei...
Baada ya kuvuka sehemu moja inayoitwa Nyancha Bukenye mida hii kuna polisi wanasimamisha kila gari linalopita barabarani na kuwalazimisha madereva kutoa hela wakidai wana speed na makosa mengine...
Siamini kabisa Euro moja ni 2532 record breaking. Pia sukari 4000.
Dah Sizoooonjeeee yani bonge la reject bora hata Asharose Migiro ama Membe wangeteuliwa siku ile.
Jamaa kashindwa Jamaa hawezi...
Najiuliza tu,.. Hii pongezi anaitoa kutoka moyoni kweli ni fix...
Kama ni kweli kwanini katika serikali yake hawa waibuaji wa huu uchafu wanapata mateso na kunyimwa nafasi ya kuibua na kuikosoa...
Hili jambo linaumiza sana kama mzalendo wa nchi yangu watu kuchukuliwa hatua wakikemea mambo fulani kisa wamesema ukweli na kwakuwa ukweli unauma wanawekwa ndani na polisi. Katiba ikivunjwa polisi...
Arusha.Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amemuagiza Mkuu wa Wilaya kuchunguza ubadhirifu wa mali na fedha uliofanyika kwenye mabanda ya maonyesho ya Nanenane.
Pia ,amesema anashangaa kuona...
Hakuna aliyejua kwa uhakika kama Trump angekuwa rais wa 45 wa Marekani lakini ndio hivyo amekuwa.
Watu walifikiri David Cameroon angemaliza muda wake kama waziri mkuu wa Uingereza, yalitokea ya...