Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wanaJF, Naulizia aina ya hili jiwe, linafanana sana na zile gololi wanazochezea watoto, ingawa ni jiwe lililotoka mgodini kabisa. Naombeni msaada wakuu.
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Kutoka Kisutu kesi hadi tar 27/7 Swali tu moja, hivi tangu aanze kushtakiwa Lisu ashaonja segerea? Wenye kumbukumbu! Povu ruksa ila iwe sabuni ya magadi. sweeper
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Natazama TBC1 iko live Urambo Tabora rais akihutubia wananchi katika ufunguzi wa barabara ya Kaliua. Rais amedokeza juu ya mapenzi makubwa kwa wafanyakazi wa nchi hii na kupigania maisha yao...
3 Reactions
84 Replies
11K Views
Nilijifunza kusema kama pia ninavyo jifunza kukua Katika hekima!! Wakati wa utoto wangu niliamini kila nilichokiona chaweza kuwa changu niliamini hivyo kwa kuwa sikutambua kuwa kunashimo refu...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni dhahiri sasa na muda muafaka serikali kuanza zoezi la kupima mikojo ya watumishi wote wa umma nchini, watumishi wa umma ndio kioo cha jamii kutokana na kanuni za utumishi wa umma nchini, ili...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Hakuna familia isiyo na mapungufu. Hatuna wazazi wasio na mapungufu, sisi pia si wakamilifu, hatuoi au kuolewa na mtu asiye na mapungufu, kadhalika watoto wetu nao si wakamilifu. Tunayo...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
najaribu kuingia google kutafuta application ya DUCE BT nakwama wadau Wang nisaidien naanzaje Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Imani yangu ni kuwa kuna siku Tanzania itajengwa na watu kutoka nchi jirani za Est Africa kama Kenya na zingine kama ilivyo Marekani. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
HABARI NI MUDA SASA WATUMISHI WA UMMA WANAOSTAHILI KUPANDISHWA VYEO WANASUBIRI KWA HAMU. WENGI WALIJIPA MOYO MWEZI HUU WA SABA MAMBO LABDA YATASOMA LAKINI HAMAD MWEZI UMEFIKA SALARY IPO VILEVILE...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Linapokuja swala la mafanikio zipo sifa na mambo mengi ambayo yanakuwa yanatajwa katika kumfikisha mtu ili aweze kufanikiwa. Mambo au sifa hizo huwa ni za msingi sana kwa kila mtu ili kufikia...
3 Reactions
2 Replies
4K Views
Katika maajabu mengi ni watu kutamani kuwa na vile wasivyo navyo siku moja nilitembelea kijiweni, niliwaona wasio onekana wakasema "wajua Tanzania ingalikuwa tajiri kama America"!? Uongozi wetu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hongera waziri mkuu kwa hatua uliyochukua ya kupiga marufuku viroba. Vijana mtaani sasa wananawiri wananenepa wakati zamani muda wote walikuwa wembamba na wananuka pombe wakiongea ni matusi tu...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
THE Tanzania Telecommunication Company Limited (TTCL) has announced its intention to establish a plant to manufacture telephone and related gadgetry locally. The firm announced its plans at a...
0 Reactions
2 Replies
901 Views
Habari zenu viongozi, wakuu nina dukuduku la muda mrefu sana,mimi ni raia ambae kwa sasa nimehamasika sana kulipa kodi na pia nimehamasika kudai risiti ya TRA ktk kila bidhaa/huduma ninayopata...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
INCREMENTS E.8 General: An increment is an increase of salary within salary scales in which the prescribed amount which is granted annually to holder of posts on incremental scales of salary until...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Msemaji wa Jeshi la Polisi, kamishina msaidizi wa Polisi (ACP), Barnabas Mwakalukwa, amesema hali ya usalama katika wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji imeimarika sana na...
1 Reactions
73 Replies
6K Views
Watu wawili waliyojitambulisha kuwa ni waganga wa jadi wanadaiwa kumbaka binti wa miaka 17, huko mkoani Lindi na kutoweka, wazazi wa binti huyo wanaomba kubaini sababu ya kitendo hicho. Tazama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau leo naileta kwenu hii hadithi ya kusisimua, >>>>>>>>>> Wazazi wangu walikuwa na kila kitu na ikiwemo migodi ya dhahabu, zoo, na kila aina ya utajiri, wakti huu nilikuwa namaliza chuo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
WAKUU, MI NIMEAMUA KUMRUDIA MUNGU WANGU.AMEKUWA FAIR SANA KWANGU,ALAFU NAWAZA KAMA NIKIFA SA HIVI NITAKUWA NA NINI CHA KUJITETEA. KUNA MAISHA BAADA YA DUNIA BORA NIMRUDIE MWENYEZI
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…