mzee wa kijiwe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 947
- 690
Ndugu zangu nimevutiwa sana na Uzalendo huu ambao wananchi wameuonyesha mbele ya viongozi wao wakuu Wa nchi hii .
Nimefuatilia mikutano ya hadhara iliyofanywa na waziri mkuu, Kule mtwara na Mbozi. Kwanza sare za vyama vya com, cuf na chadema zilitamalaki. Pili wote walikaa pamoja bila kubaguana. Tatu walicheza mziki kwa pamoja.
Nilifuatilia viongozi waliokuwepo niligundua walijawa na mshangao isipokuwa Nape ambaye alionekana wazi akilifurahia jambo lile.
Huu ni wakati Wa sisi wananchi kuwafunza viongozi wetu nini Maaana ta uzalendo.
Kwakuwa mikutano ya siasa imezuiwa basi kwenye mikutano yote ya serikali tutoke Kwa moyo mmoja, tuvae Kila mmoja sare Yake,tukawasikilize viongozi wetu.
Tutoke na mabango yetu mengine ya kupongeza, mengine ya kushauri, mengine ta kukosoa nk .
Tuitumie fursa hii adimu kuujenga uzalendo wetu.
Viongozi wanaimba wimbo Wa uzalendo lakini hawaujui uzalendo, tuwafundishe viongozi wetu uzalendo halisi .
Kama ukiweza kupiga picha, selfii ukiwa na mwanachama Wa chama kingine na ukaipost jf, au fb wewe ni mzalendo Wa kweli.
Tumechoka kubaguliwa,kubaguana.sasa wataisoma namba hii Mpya.
Uzalendo ni kutobaguana.
Sent using Jamii Forums mobile app