Idara ya maji Mwanza iangaliwe kwa jicho la tatu

serengo

JF-Expert Member
Jul 30, 2013
467
500
Idara ya maji mkoa wa Mwanza, wilaya ya Nyamagana kuna jipu kubwa pale. Maji mwezi mzima sasa hayatoki hasa kwa wakazi wa Shamaliwa kata ya Igoma. Tuko karibu na chanzo cha maji na hali ndo iko hivi, hurumieni wananchi tunateseka sana juu ya maji.
 

jfamily

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
215
250
IIdara ya maji mkoa wa Mwanza, wilaya ya Nyamagana kuna jipu kubwa pale. Maji mwezi mzima sasa hayatoki hasa kwa wakazi wa Shamaliwa kata ya Igoma. Tuko karibu na chanzo cha maji na hali ndo iko hivi, hurumieni wananchi tunateseka sana juu ya maji.
Walisambaza ujumbe wa sms kwamba kuna tatizo na maji yataanza kutoka leo usiku baada ya kukamillika kwa matengenezo, lakini pamoja na hayo bado idara ya maji Mwanza kuna tatizo
 

KIDUDU

JF-Expert Member
Sep 17, 2012
2,561
2,000
Idara ya maji mkoa Wa Mwanza wilaya ya nyamagana kunajipu kubwa pale ,maji mwezi mzima sasa hayatoki hasa kwa wakazi Wa Shamaliwa kata ya Igoma, kama tuko karibu na chanzo cha maji na hali ndo iko hivi ,hurumieni wananchi tunateseka sana juu ya maji
Mkurugenzi wa bodi yao anaitwa Hamis S Saleh ambaye pia ni mkurugenzi wa CRDB Bank Northern Zone, anapatikana kwa e mail adress hii, hsaleh@crdbbank.com mcheki atakujibu, jamaa ni msikivu kias flani.
 

House of Commons

JF-Expert Member
Oct 1, 2013
1,847
2,000
Ni kweli, tatizo ni kubwa sana, Maeneo ya Nyegezi na Buhongwa ni mateso ya kufa mtu, last time Buhongwa haijapata maji kwa miezi 4-6 na bado service charge wanakulipisha.
Walisambaza ujumbe wa sms kwamba kuna tatizo na maji yataanza kutoka leo usiku baada ya kukamillika kwa matengenezo, lkn pamoja na hayo bado idara ya maji mwanza kuna tatizo
 

Small Axe

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
649
500
Nakupendelewa na serikali..kanda ya ziwa nazani mkuu akisikiliza litatekelezwa faster..sisi kanda ya nyanda za juu kusini..hatuna mtetezi..kilakitu kanda ya ziwa kanda ya kaskazni kanda ya pwani
 

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,314
2,000
Sikuizi mwanza maji yanamgao. Yanakuja usiku tu. Tunabana matumizi ya utumiaji wa maji ya ziwa victoria.
 

Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,292
2,000
Nyiemsema buhongwa mbalihuko hapakwetu kilumba hakunamaji watuwanaamka saa 10 kuwaifoleni
Wewe muongo, labda uko Kirumba ya DRC na siyo Kirumba ya Mwanza, mimi Jirani na Monarchy hotel mbona maji yapo tu hayakatiki?
 

hibiscus interior

JF-Expert Member
Jan 13, 2016
1,174
2,000
Idara ya maji mkoa wa Mwanza, wilaya ya Nyamagana kuna jipu kubwa pale. Maji mwezi mzima sasa hayatoki hasa kwa wakazi wa Shamaliwa kata ya Igoma. Tuko karibu na chanzo cha maji na hali ndo iko hivi, hurumieni wananchi tunateseka sana juu ya maji.
Aiseeee ni aibu kubwa machinjioni hakuna maji week ya pil sasa ila maji yapo Kahama
 

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
173,850
2,000
Tatizo la maji halipo Mwanza nzima. Pia maji yanakatika kwa masaa au siku mbili basi. Wekeni akiba ya maji kulalamika tuu haifai.
 

Majita

JF-Expert Member
Jan 13, 2008
608
250
Kibaya sasa ukienda ofisi za MWAUWASA majibu yao ya kunya kweli kweli.kuna mmoja yuko Ilemela Pale sabasaba ana majibu ya kunya sana.unapeleka taarifa kuwa hakuna Maji anaanza matusi
 

Majita

JF-Expert Member
Jan 13, 2008
608
250
Huyu Urio Wa MWAUWASA Ilemela Kanda ya sabasaba nahisi hakusomea Maji.Lazima kasomea Chuo cha matusi
 

Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
5,168
2,000
Kipindupindu bado hakijaisha MWAUWASA wanatuangiza wakazi wa Kiseke jamani! Mwezi sasa unakatika maji hakuna watu, tukiwauliza mnajibu utumbo, Mungu anawaona mjue.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom