Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 32 mkazi wa Kibiti ameuawa kwa kuchomwa moto akisadikika ni jambazi ndipo wananchi wenye hasira kali kuchukua sheria mkononi ya kumchoma moto
3 Reactions
88 Replies
11K Views
Habari zenu ndugu zangu natumaini jumapili iko poa. Niende kwenye mada:Nilivyokuwa secondary school kabla ya kuchagua michepuo nilikuwa sipendi kusoma somo la historia because niliona kama...
4 Reactions
169 Replies
20K Views
Wakuu hali gani Kwa muda mrefu nimekua nikiwa za kuna uhusiano gani kuhusu kubanwa haja kubwa pindi mtu awapo na hofu au wasiwasi bila majibu.. Kwa heshima na taadhima naomba mwenye kujua...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo nimefika kwenye kituo cha mafuta ili kuweka mafuta kwenye gari langu. Walipomaliza kuweka mafuta wakanipa risiti ya EFD na baadaye kama kawaida yangu nikaipitia ili nisome kilichoandikwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kanisa Katoliki ndilo mfundishaji mkubwa wa Philosophy (falsafa) na wataalamu wakubwa wa Philosophy wapo ndani ya Kanisa. Vyuo kama Jordan University college Morogoro (zamani Salvatorian...
4 Reactions
18 Replies
6K Views
Jamani msaada wenu mana kila kukicha nasikia taarifa tofauti sasa kama kuna mwenye taarifa rasmi aniambie kuhusiana na ajira mpya za walimu shule za msingi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimetoa tahadhari kwa wanafunzi wanaoomba kudahiliwa na chuo hicho kuwa makini baada ya kuibuka wimbi la matapeli. Tangu shughuli ya udahili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mita yangu ya LUKU iliharibika miezi kadha kipindi cha mvua. Siku hiyo mvua ilinyesha kubwa sana ndipo matatizo yakaanza. Kwanza ilikuwa inapunja units nikinunua 20 mita inasoma 12 au 9 tu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta mchumba awe in muislam asiwe mlevi wala mpenda vigodoro Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
18 Replies
1K Views
mheshimiwa wakili msomi Tundu lisu raisi wa TLS na mwanasheria Mkuu wa chadema na mbunge wa singida mashariki hivi karibuni amekuwa akiwaelekeza mahali kwenu pa kwenda kisiasa. naamini mmemuelewa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Baba na mama wa marehemu Dar es Salaam. Vilio na simanzi vimetawala kwenye msiba wa mtoto Norah Marealle baada ya kuwasili kwa wanafunzi wenzake wa Shule ya Atlas ya Ubungo jijini Dar es...
0 Reactions
36 Replies
9K Views
The long-running cross-border trade spat between Kenya and Tanzania has resumed barely four days after the two countries signed a pact removing restrictions that had cost traders billions of...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Haya sasa baada ya kuona battle za Dar vs Nairobi tukaona mapicha kibao, ARUSHA vs MWANZA tukaona mapicha mazuri,(MWANZA palivuta) Tanga vs Mbeya tukaona vituu( Tanga palivuta), Moshi vs Bukoba...
1 Reactions
73 Replies
18K Views
Wana Jf, Nafanya collection ya stempu za posta na za TRA, stempu hizo nahitaji picha zilizopo kama za ndege, wanyama... nazikusanya kwa ajili ya kumbu kumbu, stempu hizo lazima ziwe za kuanzia...
1 Reactions
1 Replies
860 Views
Wananchi watanzania wanarubuniwa kweli kweli tena sana hasa kwa maneno , na kwavile watanzania 75% ni wajinga wa kuelewa na kupambanua basi kwa hakika watazidi kurubuniwa zaid ya sasa.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wahenga naomba mnisaidie kwamba ni kwanini utakuta binadamu anapewa jina la ubatizo na jina la udogo huwa ni kwanini asipewe jina moja tu?
0 Reactions
23 Replies
2K Views
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewaondolea hofu watumiaji wa mitandao ya simu, wanaotaka kutumia huduma ya laini moja kwa mitandao yote, kuwa hatawakosa huduma zinazotolewa na makampuni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WATU wawili wamekufa katika matukio tofauti katika mkoa wa Rukwa, akiwemo mkazi wa Kijiji cha Mafulala Manispaa ya Sumbawanga, Anna Kashamsakula (35) aliyeuawa kikatili baada ya kuchinjwa na...
0 Reactions
2 Replies
763 Views
Mwanamke mmoja mkazi wa Bomarodi manispaa ya Morogoro Neema Monyo amekamatwa na maafisa wa mamlaka wa usimamizi wa bima kanda ya kati (TIRA) kwa kushirikiana na jeshi la polisi kikosi cha usalama...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Miaka 4/5 hivi nilikuwa Dar, ikatangazwa kuwa pengine tsunami ingeweza kupiga bahari ya Hindi na pwani yake. Watu walianza kutoka ofisini mapema saa 8 kuelekea majumbani. Nikiwa Posta nilitumia...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…