Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimeshangaa kusoma hili tangazo linaloashiria kuwa Chuo cha Ardhi kimepanuka haraka sana kufikia saizi hi kwenye pichai. Ama picha iliyotumiwa inatuma ujumbe potofu au ndiyo hivyo, chuo kimepanuka!
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Kauli iliyoleta matokeo chanya Tz Commred Chichimizi Kauli [emoji23]...Kauli ya kiufundi ya Mhe.Rais JPM ya serikali haina shamba, hivyo mgao wa chakula hakuna. Kauli iliyoleta uwajibikaji na...
1 Reactions
2 Replies
826 Views
Tetemeko lililodumu kwa takriban sekunde tano limetokea leo, Julai 30 saa nne asubuhi katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kayanga wilayani Karagwe, lakini hakuna madhara yaliyoripotiwa kutokea...
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Vikosi maalum vya majeshi ya nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) vitafanya zoezi la pamoja lililopewa jina la (Ex Matumbawe) katika mkoa wa Tanga ili kuviwezesha vikosi vya jeshi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hbr Za Jioni Great Thinkers Only Naomba Ufafanuzi Ulionyooka Nitoke Matongotongo.Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Nchini (TCAA), inatarajiwa kununua rada nne kwa ajili ya kumulika anga la Tanzania mpaka nje ya nchi. Kwa mujibu wa Mwanasheria Mwandamizi wa TCAA, Maria Memba, rada...
0 Reactions
5 Replies
925 Views
Katika kazi ambazo inasemekana zina mshahara mnono basi mojawapo ni kazi ya UDAKTARI.. Cha kushangaza ni maisha ya kuunga unga wanayoishi madaktari yaani unaweza kukutana na daktari mtaani...
1 Reactions
106 Replies
33K Views
Mkuu wa Wilaya ya ilala, Sofia Mjema amemuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala kuwachukulia hatua askari wake wanaochukua rushwa kutoka kwa waendesha bodaboda. Pia, amesema kuanzia jana vikundi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu! Hongera zao wale walokuwa ibadani leo. Pole zao wale walokuwa katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku. Natumia kiswahili ili kila msomaji aelewe ili kuepuka lugha za...
0 Reactions
2 Replies
746 Views
Barriadi, Simiyu. Ni wiki ya tatu sasa tangu niingie Bariadi, kitu kimojawapo nilichogundua (katika shughuli zangu za utafiti) ni uwepo wa uvunjifu mkubwa wa sheria za barabarani hapa Bariadi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mada hapo juu yajieleza. Sisimizi wamekuwa wakikera sana hapa nyumbani ninapoishi. Wanapenda sana kuingia kwenye chakula kilichopikwa. Sitaki kuwauwa kwa sumu kwani baadhi ya watu husema...
1 Reactions
34 Replies
39K Views
Ni mambo ya kusikitisha sana na inafedhehesha wateja haswa wenye vibegi na mifuko kuwaomba wakabidhi kaunta kabla ya kuingia kwenye maduka yao haswa makubwa. Yaani mteja ni mwizi badala ya...
4 Reactions
84 Replies
11K Views
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dkt.Binilith Mahenge amewaagiza wakala wa huduma za misitu mkoa wa Ruvuma(TFS), kuwakamata wafanyabiashara wanaosafirisha mazao ya misitu bila kibali na kutaifisha, kupiga...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Mke wa marehemu Mchungaji Christopher Mtikila, aliyefariki dunia Oktoba 4, mwaka juzi, Georgia Mtikila, amevunja ukimya na kuzungumzia jinsi anavyoteswa na kesi tatu zilizoachwa mahakamani na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kunataarifa kuwa siku ya tarehe 31/08/2017 uongozi wa wafanyabiashara soko kuu majengo unampango wa kutaka kuwafukuza watoa huduma wa bodaboda hapo sokoni kwa kisingizio cha kutolipa ushuru ambao...
0 Reactions
1 Replies
876 Views
Ndugu wana JF, Kumekuwa na mtazamo kwamba nchi yetu imegubikwa na maovu mengi yakiwemo mambo ya ufisadi,biashara haramu na upigaji dili yakitamalaki miongoni wa wananchi na hata baadhi ya viongozi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau. Naomba usipite bila kunipa msaada wapi tutapata msaada wa aina yoyote toka kwa wafadhili. ili tuweze kuendeleza miradi tuliyobuni kwenye kikundi chetu cha vijana. Kama unafahamu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Sakata la kifo cha mchimbaji madini ya Tanzanite katika Mgodi wa Gem & Rock Venture wa mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, limechukua sura mpya baada ya mgodi huo na ule wa CT...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mnatunyanyasa na kututesa sisi wakati na abiria wa mabasi ya mwendo kasi UDART kwa kutomalizia kituo kuweka machine za Ku scan tiketi ili kitumike na kupandishia abiria kuliko inayoendelea ya...
0 Reactions
2 Replies
822 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…