Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kweli technology inatufikisha mbali Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Zimbabwe ya leo ni nchi maskini wa kutupwa na wananchi wa nchi hiyo wanapata shida hata kula milo mitatu limekuwa ni jambo la historia. Zimbabwe ilikuwa ikisifika kwenye miaka ya 1980 kama ndiyo...
2 Reactions
44 Replies
8K Views
Wakuu, nimetafakari kwa muda kidogo! Sijapata majibu ya moja kwa moja juu ya hili la sisi wakristo kwenye baadhi ya Sala zetu tunatamka "Mungu Mwenye Enzi Yote"... Ikimaanisha Mungu mwenye Mamlaka...
0 Reactions
72 Replies
8K Views
Katika tathimini yenu ya kiuchumi mmeeleza mengi ambayo ni kiashiria kuwa hali ni ngumu sana kwa watanzania hasa ktk kupata mahitaji muhimu ya kibinadamu. Zaidi mmeguswa na dhuluma wafanyiwayo...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Hali imekua tete mtaani commred Chichimizi Mitaani hali ya kiuchumi si shwari kabisa.....maisha yamekua magumu kiasi.....kodi inakusanywa vzr kabisa lakini baada ya kukusanywa hairudi au...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujua majina ya wajumbe wanaoiwakilisha Tanzania katika majadiriano na Barick /,Accasia juu ya makinikia make mkutano umeanza leo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Napenda kujulisha umma wa watz kwamba kama wewe una-skill zozote ambazo umesomea au unazo. Unaweza kujiari kama freelancer kufanyia watu kazi online. Kuna you website kama www.Upwork.com na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo hii kuna Noah imejaa vijana wana vikoti vya reflector wamepita mtaani na kukamata mtu aliyepaki gari kisa hajawasha taa za hazard. Ajabu walikuwa na askari mwenye bunduki ndani ya noah yao...
1 Reactions
3 Replies
949 Views
Nataka kununua kati ya mojawapo ya haya mapipa: 1. Simtank 2. Polytank 3. Kiboko Naomba kujua lipi linaweza kuwa bora tafadhali.
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuj nimeskia jumla ya mabomu matatu mbezi beach kama kuna ambae yupo karibu atujuze ni ya nn Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Uhamiaji watoa pasipoti kinyemela Idara ya Uhamiaji imeanza uchunguzi kuwapata watumishi wake walioshiriki kumpa hati ya kusafiria, Mkurugenzi wa shirika lisilo la serikali (NGO) la Pastoral...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mtakumbuka hivi majuzi yalitoleea matokeo ya utafiti ambao matokeo yake yalibainisha kwamba takribani 33% ya wanaume mkoani Dar Es Salaam wanakabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume...
3 Reactions
38 Replies
6K Views
Nimejaribu kufuatilia maneno ya Rais Magufuli kuwa mwanafunzi atakaebeba ujauzito kufukuzwa shule. Kwa ninavyojua mimi hakuna mwanafunzi atakaekubali kufukuzwa shule, akipata ujauzito lazima...
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Habari wana JF, Mwezi wa 6 nilijaza fomu bank fulani kuomba mkopo wa biashara. Nimekamilisha vigezo vyote ikiwemo hati ya nyumba lakini kimya nikiuliza wanasema eti mtandao sijui visasi mana...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mtu una schengen visa ya short-stay 90 days unataka kuvuka border ndani ya schengen area labda kutoka Italy to Germany. Je kipi kinahitajika tena au utapita tu bila tatizo lolote? Naomba...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa miaka mingi sana watoto wanaosoma shule za Msingi za Tanzania ( Kayumba ) , wamekuwa wakivalishwa sare mbaya na isiyopendeza ambayo ni shati jeupe na kaptula ya bluu. Uchunguzi wangu...
3 Reactions
45 Replies
12K Views
Mzee mmoja anayejulikana kwa jina la Yohana Mkwera mkazi wa wilaya ya Ludewa, alishangaza jamii inayomzunguka huku mwenyewe akipigwa na butwaa, baada ya kuamka asubuhi na kukuta miguu yake ikiwa...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Mzee amepambana kumleta mtoto shule ili a some by any means Kwa tuliokulia kijijini ukute dogo alikua kakimbia kijijini kajificha kwa babu na bibi dingi kaenda kumuibua kama makenikia Mzee...
3 Reactions
68 Replies
9K Views
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Dk. Thea Ntara amewataka wanawake wajasiriamali mkoani humo kuchangamkia fursa mbalimbali za mikopo zinazotolewa na serikali ili kuweza kuwasaidia kujikwamua...
1 Reactions
0 Replies
895 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…