Wakuu, nimetafakari kwa muda kidogo! Sijapata majibu ya moja kwa moja juu ya hili la sisi wakristo kwenye baadhi ya Sala zetu tunatamka "Mungu Mwenye Enzi Yote"... Ikimaanisha Mungu mwenye Mamlaka yote...
Hivi ni kweli Mungu ndio mwenye Mamlaka yote hapa Duniani? Je, shetani hana enzi yoyote hapa duniani!! I mean hana mamlaka?...
Hivi ni kweli Mungu ndio mwenye Mamlaka yote hapa Duniani? Je, shetani hana enzi yoyote hapa duniani!! I mean hana mamlaka?...