Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Zaidi ya shilingi milioni 168 ambazo zimekusanywa na watumishi wa halmashauri ya mji wa Tunduma kama ushuru wa magari yanayovuka mpaka wa tunduma kwenda nje ya nchi hazijulikani zilipo, huku...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nawapongeza sana NMB tawi la Kilosa kwa maandalizi ya maonyesho ya siku ya mwanamke duniani ambayo inategemea kufanyika tarehe 8/march. Endeleeni na huo moyo.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna sehemu inafikia maishani matatizo yanakua yamekuzunguka chungu mzima. Ukifanya hiki shida, ukigeuka shida, ukitafakari yanazuka mapya ila naamini bado ipo sehemu ya maisha iliyo bakia...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mashitaka yaliyopelekwa kwa Mkurugenzi wa Mashitaka wa Serikali DPP yanayomuhusu Mange Kimambi yamefikia 17 Sasa. Hayo yalisemwa na Hoyce Temu Miss Tanzania wa Mwaka 1999 alipokuwa anahojiwa...
2 Reactions
73 Replies
18K Views
TAHADHARI KWA WALE WENYE MAGARI DAR ES SALAAM. Kuna mzee mmoja wa makamo hivi, hupenda kuvaa kanzu, midomo yake imeungua kidogo. Mzee huyu ni MWIZI na JAMBAZI. Jinsi anavyofanikisha uhalifu wake...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Tunaomba mtusaidie na sie wenye vibamiya mtutengeze saizi zetu maana inatulazim kupiga kavu kwakua saizi zetu hakuna mie ndio mpaka nafungaga na balabendi ili nipige gem Sent using Jamii Forums...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Habarini za mchana, wale wa mororgoro road kuanzia stop over na waliondani ya mt 90 za barabara rejeeni nyumbani huku wameanza kubomoa
8 Reactions
92 Replies
12K Views
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi, tanzania daima na mengine watuhumiwa wa matumizi mabaya ya ofisi na fedha za umma tshs. 3,853,629,517.90 (billion) ni hawa hapa. 1. Kanali Ayub...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Pole na pilika za kuijenga nchi yetu wakuu nimepata nafasi kidogo ya kupumzika kwakua hii ya hapa kazi tuu mtu unaweza kosa hata break hivyo niliyo nayo ni kama yafuatayo. Ni kwamba kumekua na...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wafaransa wametangaza kasitisha utumiaji wa mafuta ya diesel na petrol kwenye magari ifikapo 2040. Uingereza pia wametangaza nao. Lakini Norway wataanza 2025. Hii ni kwa sababu ya uchafuzi wa...
9 Reactions
148 Replies
13K Views
Ndg...wana Jforum...yahusu wafanyabiashara wa barabarani bunju mwisho stendi mbona Serikali haiwahamishi kwa nguvu hawa watu...kwani ni Serikali yenyewe imetoa agizo within a week...
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Je nimtaalamu ya wa mambo ya mitandao? Kati ya mirackle na gsm ipi inapiga kazi kisawa sawa. Na je kuna Apps inayopiga kazi kama Adobe photo shop? Nakama ipo naiomba. huo hapo ni uonekano wa gsm...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Wadau nini kimejificha apa nacte walikua watoe vyeti mwishoni mwa mwezi wa 7 jana wameweka tangazo hadi tar 12 na ukizingatia mwisho wa maombi ni tar 11 nidhairi kua waliomaliz 2015/2016...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA, Mh Salum Mwalimu amesema wamelazimika kuitorosha familia yake ili kunusuru maisha yao baada ya watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake, kufanya fujo na kujaribu...
0 Reactions
87 Replies
11K Views
Waungwana poleni na majukumu, 09/08/2016 nilibahatika kufanya mazungumzo na mke na baadhi ya ndugu wa Alphonce Mawazo inasemekana baada ya mazishi viongozi wa CHADEMA walitoa ahadi kwa familia ya...
13 Reactions
197 Replies
21K Views
Mwenye Till ya Airtel na au Halotel mkoani morogoro tafadhali tuwasiliane kwa taarifa zaidi kupatana bei. Karibuni mwenye lolote
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanawake India wamekumbwa na Taharuki ya kuibiwa nywele zao baada ya kuleweshwa na madawa ya kulevya na kukatwa nywele bila ridhaa yao. Inajulikana kwamba wanawake wa Kiafrika hasa ndio...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Magunia zaidi ya 1000 ya dawa za kulevya aina ya bangi yamekamatwa na kuteketezwa na Jeshi la polisi wilayani Arumeru kwa muda wa miezi mitatu huku watuhumiwa 37 wakiwa wamekamatwa na 12...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Ni kuhusu Soko Jipya la Bunju mbona wafanyabiashara wa barabarani Bunju stendi wamekaidi hawataki kuamia soko jipya na serikali mbona haichukui hatua kuwahamisha kwa nguvu hawa watu. Tatizo ni...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mkuu wa wilaya ya Kongwa Deogratius Ndejembi amemwagiza mkurugenzi wa halmashauri hiyo kuwachukulia hatua za kisheria ikiwemo kuwafuta kazi wauguzi wanne wa hospitali ya wilaya ya Kongwa kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…