Watuhumiwa wa ufisadi wa 3.8 billion -suma jkt hawa hapa.....

BJEVI

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
1,359
251
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi, tanzania daima na mengine watuhumiwa wa matumizi mabaya ya ofisi na fedha za umma tshs. 3,853,629,517.90 (billion) ni hawa hapa.



1.kanali ayub mwakang’ata-mkurugenzi mkuu suma


2.kanali lukohi kichogo



3.kanali paul mayavi



4.meja peter lushika



5.sajenti john laiezer



6.meja yohana nyichi



7.luteni kanali felix samilan-mkurugenzi wa miradi ya matrekta ya suma jkt



hawa wote walifikishwa mahakamani jana tar 02/07/2012 ili kusomewa mashitaka 7 yanayowakabili.kama kweli wanahusika na matumizi haya mabaya ya fedha za umma!!!!????
Je! Tutafika!!!!?????
 
Hatutaki kutajiwa tajiwa hawa maafande, tunataka tutajiwe bila kigugumizi majina ya wamiliki wa kagoda pamoja na wale vigogo wa ccm walioweka mabilioni yetu benki za uswisi na wafikishwe mahakamani mara moja.
 
hao mafisadi wasiachwe,wakat wananchi wengine wanataabika,wengine wanajichotea mabilioni!
 
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi, tanzania daima na mengine watuhumiwa wa matumizi mabaya ya ofisi na fedha za umma tshs.3,853,629,517.90 (billion) ni hawa hapa.



1.kanali ayub mwakang'ata-mkurugenzi mkuu suma


2.kanali lukohi kichogo

huyu ni mkurugenzi idara ya manunuzi SUMA JKT

3.kanali paul mayavi

huyu ni mkurugenzi wa fedha SUMA JKT

4.meja peter lushika

huyu alikua afisa manunuzi kama sijasahau

5.sajenti john laiezer

huyu alikua mtunza stoo,na aliamishiwa toka arusha kuja dar kwa lengo hili

6.meja yohana nyichi

huyu sikumbuki vizuri

7.luteni kanali felix samilan-mkurugenzi wa miradi ya matrekta ya suma jkt



hawa wote walifikishwa mahakamani jana tar 02/07/2012 ili kusomewa mashitaka 7 yanayowakabili.kama kweli wanahusika na matumizi haya mabaya ya fedha za umma!!!!????
Je! Tutafika!!!!?????
habari ndio hiyo na kwa taarifa tu SUMA imeoza kuna mengi yanafichwa
 
Tatizo mahakama, sheria zetu na mfumo mzima wa uendeshaji wa kesi km hizi ni dhaifu mno kiasi kwamba mtu hawezi kuogopa kushtakiwa, kwa mfano kesi km hii mpaka mtu iamuriwe kuwa anakosa la kujibu inaweza kuchukua hata miaka mitatu, chukulia mfano kesi ya mramba na yona, hii ni danganya toto,
 
Wanajesh nao wanapenda maisha kama ya wanasiasa,,,huenda ikawa hata silaha wanauza,,,,,leo tumejua haya ya kilimo maana si mazito,honestly sijashtushwa na huu wizi,hivi ni vijisent tu,maana kwa sasa uswiz kuna za mafuta na madini
 
Wanajesh nao wanapenda maisha kama ya wanasiasa,,,huenda ikawa hata silaha wanauza,,,,,leo tumejua haya ya kilimo maana si mazito,honestly sijashtushwa na huu wizi,hivi ni vijisent tu,maana kwa sasa uswiz kuna za mafuta na madini
hawa maafande bado wapo kwenye kundi la VIDAGAA,kwa mujibu wa Hoseah
 
Tatizo mahakama, sheria zetu na mfumo mzima wa uendeshaji wa kesi km hizi ni dhaifu mno kiasi kwamba mtu hawezi kuogopa kushtakiwa, kwa mfano kesi km hii mpaka mtu iamuriwe kuwa anakosa la kujibu inaweza kuchukua hata miaka mitatu, chukulia mfano kesi ya mramba na yona, hii ni danganya toto ,

kula kande mbichiiiii
 
brrrrrrrriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiih! tekenya......! , tekenya! mchakamchaka chiinja alimselema adija.....x2 wera, wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaah!
 
kama hagus maslah ya wateule,tutamtaja sisi tu HAPA

Tuliambiwa amekutwa na 3trl/= kwenye account:

Shimbo na wizi wa Trilioni 3: Apata mshtuko na kuzirai!


Hali ilivyokuwa:


JK alienda AFRICA YA KUSINI majuzi na alikuwa anajaribu kuomba msaada kuisaidia TZ, wakamwambia hatutaweza kukusaidia maana una watu wana hela ambazo ni zaidi ya ambazo tungekusaidia. Ndipo wakamfahamisha juu ya Mnadhimu wetu kuwa na account huko yenye zaidi ya TZS zaidi ya trilioni 3. Habari hii ilimshtua JK naye akataka ufanyike uchunguzi ambao uliibuka na usahihi wa taarifa toka SA kwani ilikutwa kweli jamaa ana hela hizo.Inasemekana Interpol wamempatia Afande Shimbo ukweli wa Account zake nje ya nchi zenye pesa nyingi sana na amechukuliwa chini ya Ulinzi wa Interpol kwenda Africa ya kusini kwa matibabu.
Amekuwa akiwakata posho wanajeshi wanaoenda kujitolea kusaidia mataifa ya nje na wa ndani.


Hela nyingi zaidi ni pale alipokata fungu kubwa sana toka fedha za shukrani toka Comoro baada ya Tanzania kuisaidia nchi hiyo. Fedha hizo zilitakiwa kugawiwa kwa wanajeshi kwa kuisaidia nchi hiyo lakini mkuu huyu alizipiga panga na hawakujua kuwa alikuwa kafungua akaunti nje ya nchi na kuzihamishia kule.Ameshindwa kueleza kwa undani alizipataje pesa hizi kwenye akaunti na aliishiwa nguvu na kudondoka!


Si Shimbo pekee...


Kuna kijana mdogo sana anaitwa PTE Gwilla, huyu yupo Kurugenzi ya DPA ana-deal na salaries za wanajeshi... Kinachoshtua ni askari mdogo sana lakini alikuwa ana maghorofa mawili makubwa, magari aina ya Coaster mawili na benki alikutwa na zaidi ya 73mil TZS (kwa mshahara wake asingeweza kuwa na vitu hivi)


Uchunguzi umeonyesha Gwilla alikuwa anacheza na mishahara ya wanajeshi kwa muda mrefu (4yrs) kwa aidha mishahara hewa, kukata 500 kwa kila mwanajeshi (4yrs) na zaidi akawa anakula hela za likizo za wanajeshi kwa zaidi ya miaka 3 (2009-2011).


Huyu naye kakamatwa na anashikiliwa Mgulani.


Kuna mwingine...


Ni Mkurugenzi wa malipo jeshini, Brigedia (CC) Zakayo, naye kalamba mabilioni ya hela (kiasi sijakinasa vema bado lakini ni zaidi ya EPA) naye anashughulikiwa kwa karibu.

Source: http://darusi2008.blogspot.com/2011/08/breaking-news-mnadhimu-mkuu-wa-jwtz.html
 
naona afande ndomba ameamua kusafisha jkt,

Shimbo anatakiwa kustaafu mwezi wa tisa kwa mujibu wa umri, ameandika barua ya kuomba kuongezwa muda wa utumishi lakn sidhani kama ataongezewa
 
Hatutaki kutajiwa tajiwa hawa maafande, tunataka tutajiwe bila kigugumizi majina ya wamiliki wa kagoda pamoja na wale vigogo wa ccm walioweka mabilioni yetu benki za uswisi na wafikishwe mahakamani mara moja.
Umesahau Trilion tatu kule South Africa zilisemwa kisha ziii!!!!!

 
kwa style hii ya kuchota fedha ukata ndio unazidi kuongezeka katika taasisi za umma!
Mmmh yawezekana kabisa ndio maana huduma zinakuwa chini ya kiwango mfano katika hospitali nk.

Mafisadi hao ni walafi na wa binafsi mnooooooooo kaah!
 
Back
Top Bottom