Mwisho kutumia petrol na diesel 2040

Mwisho kutumia petrol na diesel 2040

Black Sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
35,279
Reaction score
61,236
Wafaransa wametangaza kasitisha utumiaji wa mafuta ya diesel na petrol kwenye magari ifikapo 2040.
Uingereza pia wametangaza nao.

Lakini Norway wataanza 2025.

Hii ni kwa sababu ya uchafuzi wa hali ya hewa.
Magari yatakayo tumika yatakuwa ya umeme tu

Wazo langu naona ni wakati muafaka wa kuanza kuandaa wataalamu ili kutengeneza batteries za hayo magari ya Umeme.
Maoni yenu vipi kwa hili
 
Kuna gari la kifahari linaitwa TESLA hili linatumia umeme tu. Imagine sasa na magar mengineo watakapobadilsha system ikawa kama hili, ingawa kuna magar kama tayota aurius linatumia umeme na petroli.
Na hapo airport ya Amsterdam nimeona ya na tumia umeme na diesel.
Yani i awezekana kabisa magar ya umeme yakatawala.
 
Aviation fuel ina asilimia chache sana kwenye soko zima la mafuta!

Soko la mafuta limeegemea kwenye magari.

Pia majuz, marekani wameunda meli yao ya kijeshi haitumii mafuta.

Kifupi tu, waarabu wajiandae!

- KANA -
Ila najiuliza kwa nchi zetu hizi sijui itakuwa hizo point za kucharge hasa kama ni mzee wa pori kwa pori ambako umeme without though I believe mpaka tufike huko umeme hautokuwa big deal
 
Back
Top Bottom