Habari wadau,
Napenda kufahamu mmiliki wa hiki kituo kipya cha Radio 93.7 E-FM.
Tafadhali naomba kufahamishwa kwa wanaofahamu..
========
JIBU SAHIHI:
E-FM mmiliki mwenye share kubwa ni...
Mungu(kwa wale waamini na waaminio) ana njia zake tofauti za kufikisha ujumbe fulani kwa watu wake, kuna njia za moja kwa moja, kuna njia za unabii na kuna njia kupitia matukio fulani...
Wakuu...mwenye namba ya simu ya hii orphanage center iko pale Mburahati naomba anisaidie. Ninahitaji kuwasiliana na wahusika.
Sent using Jamii Forums mobile app
WATU watano wameuawa katika matukio mawili ya ujambazi kwenye mikoa ya Kigoma na Katavi.
Taarifa za Kipolisi zinasema kwamba majambazi wanne waliuawa na watu watatu wakijeruhi wakati wa...
Tulipoambiwa "Watumishi hewa" tukashangilia sana, japo hatukuwaona
Wakaja waliofoji vyeti na kutumia "Vyeti fake" wakapugwa bila huruma, ndipo wengine tukahoji uhalali wa DAUDI Albert.
Limekuja...
Ni wiki ya tatu sasa tangu leseni yangu ya gari imeisha muda wake. Nilikwenda ku-renew wakaniambia nirudi baada ya wiki 2 maana materials za kutengeneza license zimewaishia.
Nilivyorudi wakasema...
Wakati niko mdogo niliwai kusikia watu/mtu akipata rupia anakuwa tajiri sana, sasa mwezi uliopita nilikuwa nasimamia mgodi wa moonston Songambele ya matui.
Wakaja watu 2 kijijini wantafuta...
Kwa mashuhuda waliona tukio hili wanasema kua huyu ni mwizi wapikipiki apigwa mawe na waendesha bodaboda mpaka kufa maeneo ya kongowe leo hii majira ya jioni hii mahala panaitwa kongowe kipara au...
Wakuu kwa kweli binafsi yangu nakiri video za whatsapp hazijawahi nisaidia zaidi ya kuniharibia siku.
Hii ni kutokana na matumizi mabaya ya wengi wetu kupenda kushare video zisizonufaisha...
Kampuni ya mabasi ya mwendokasi UDART kile kituo cha mabasi cha Kimara Baruti mnataka tuanze kufugia kuku kama hamtaki Kukitumia?
Toka mmezindua mradi wenu wakazi wa Baruti wanapata shida sana...
Kuelekea katika uzinduzi wa ujenzi wa Bomba la mafuta kati ya Tanzania na Uganda ,
Usikose kumfuatilia
Ndg, Suleiman Serera, Mtaalamu wa Sheria zihusuzo Uwekezaji, katika kipindi cha Mada Moto...
Wanajukwaa ile nmb ya zaman kweli sio ya sasa naona wanajiweka sawa kwa ushindani na kuboresha huduma lkn kwa hili wamenikumbusha mbali saana, zaidi ya miaka kumi na tano iliyopita; hakuna kitu...
Watu wawili mkoani Singida wameuwawa katika matukio mawili tofauti likiwemo la jambazi kuuwawa na polisi wakati wakirushiana risasi , na tukio lingine mtu mmoja kusukumwa na kuangukia nje...
Imezoeleka kuona mtu akila unga wa dona mweusi na mchungu kama ndio chakula bora. Ni kweli mahindi yaliosagwa moja kwa moja na mahindi yaliokobolewa yakasagwa yanautofauti kwenye nutrients, lakini...
Ndugu zangu muda huu ndo nimefika home nikitokea kwenye miangaiko ya kila siku, cha kushangaza nimekuta mwenye nyumba wangu kaongeza kufuri mlangoni kwangu kisa ananidai kodi,nimeenda kwake...
Ni kamsemo ambako naona kameanza kujizolea sifa na kushika sana kasi hapa mjini na kiukweli kama Mtu akikuambia ' kanaumiza ' kama siyo ' kanachoma ' sana hadi kumoyo kwani kwa anayekuambia huwa...
Hivi karibuni imetoka tafiti ya kampuni geopol iliyotoa orodha ya vituo vya radio na runinga ambavyo vinatazamwa sana ambapo kwa mujibu wa baadhi ya matokeo ya tafiti yao ambayo na mimi...
Serikali imekifunga Chuo cha Masjid Shafii kutokana kutotambulika shughuli zinazofanywa na chuo hicho ambacho pia hakina usajili.
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Singida imekifungia...