Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, Tulipomaliza chuo 2015, wengine tulipata bahati kupata ajira but kuna wenzetu hawakupata. Jana (09/08/2017) katika shughuli zangu za kufuatilia mikopo kwa clients, nikakutana na...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Wadau huyu ng'ombe wa blue ametokea wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
22 Replies
9K Views
#Biharamulo Ziara ya Raisi Magufuri na maelekezo aliyotoa kutatua tatizo la maji, alijapatiwa ufumbuzi! Ushauri kuondoa tatizo la maji in bora wavute maji kutoka ziwa Victoria au ziwa Burigi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
hapa Mungu alimaanisha nini... Ni harakati za dunia nzi,a watu wasizae sana kwa hofu... Wahenga wetu walizaa sana japo hawakumjua Mungu kitu kinachoonyesha walirithi kutoka kwa Adam. Nini...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Habari Ndugu zangu, Nina Ndugu yangu ambaye amemaliza hatua ya awali jeshini sasa hivi Yuko on Service Mbweni,ameniadithia mambo Mengi Sanaa,lakini lililonishangaza zaidi ni kuna idadi kubwa...
1 Reactions
65 Replies
17K Views
Last 3 months he was the president of france ie hollande. Viongozi wa Africa kazi ni wizi na kung'ang'ania madaraka !! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wamiliki wote wa vituo vya mafuta ambao wameomba kupatiwa mashine za kielektroniki(EFD) wamepewa siku 20 wawe wamefunga mashine hizo. - Agizo hilo limetolewa Serikali kupitia Waziri wa Fedha na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hilo nalo linaniacha hoi hasa nikisafiri na mabasi yetu yaendayo Mikoani!!Kwamba , imezoeleka kuwa basi lisimame porini abiria washuke kwenda kuchuma dawa. Kwa wale ambao...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Hanang mkoani Manyara kwa kauli moja limepitisha kufukuzwa kazi wafanyakazi watano kwa utoro kazi na kuwapa onyo watumishi sita wa idara...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hawa wanyama wanateseka sana, wanachapwa fimbo migongoni mwao zisizo vumilika, mbaya zaidi wakiwa wawili wanavuta tela la mizigo mmoja kati yao anaweza kua anaumwa sana, kwaio akitegea basi wote...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
Pesa haionekani..pesa haikamatiki, na ukiikamata ni kiduchu ,ni ya kuishikilia kweli kweli. Ikikuponyoka tu,kurudi kwake ni mbinde. Hi ni kwa watu wa kada zote, kuanzia watumishi wa umma...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu zangu rushwa imepamba moto kuhusu rist kwa wateja ambao wananunua mizigo bila kupewa rist ya efd naomba vyombo husika viingilie kati Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
983 Views
Ikiwa leo tarehe 13/08/2017 ni siku ya watumia mkono wa kushoto duniani, hebu wana JF tunaotumia mashoto tujitambulishe hapa na tuwalete watu mashuhuri ambaye nao ni mashoto. kwa upande wangu ni...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15...
1 Reactions
0 Replies
645 Views
Mbunge wa Viti Maalumu wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Anatropia Theonest(Chadema) amesema watoto 244 wamefanyiwa vitendo vya unyanyasaji katika halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo tatu ya...
0 Reactions
1 Replies
862 Views
Sheria ya kurudia kidato cha nne iko vipi kwa sasa .. ni kuanzia masomo mangapi mtu anaweza rudia tena paper ya kidato cha nne? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
817 Views
Nimekuwa naona group lina member zaidi ya milion,sasa sijajua yanawafaidishaje hayo magroup wenye ufahamu watuambie
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Tanesco imetoa taarifa ya katizo la umeme katika mkoa wa Kinondoni Jumapili ya leo ambapo maeneo zaidi ya 50 huenda yakakosa umeme kwa muda wa takribani masaa 7. Aidha, Tanesco imewajulisha pia...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
TEF mlishawasaliti Wazalendo , sidhani kama kuna lolote jipya litakalojiri.
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Yona na Mramba RUGEMALIRA NA SINGH KITILLYA NA SANARE
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…