Habari waungwana! Ninae rafiki yangu ambae mama yake ana hali mbaya na mwanae yupo Goa,India kutafuta maisha.
Naomba kujulishwa kuhusu ni JINSI GANI MTANZANIA ALIYEPO INDIA AMBAE AMEOVERSTAY...
Hapa ndo home sweet moshi wazee nlipozaliwaga na kutokea hapo npo mbali nako nw ila kama wengne home twn s always n ma heart..tupia ulipotoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za usiku.Kila member ana jukwaa ambalo akishika simu au kompyuta tu kuperuzi jf lazima kuna jukwaa atalianza kuingia.Je jukwaa ni lipi na kwanini liwe jukwaa hilo?
Karibuni
great thinker
Kumbe hata wao wanazamia Duuh!!!
RAIA wa AfriKa Kusini, Menolaos Tsampos, (61), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo kujibu mashtaka ya kutishia kwa mtandao, kuishi nchini kwa...
Women flake at very high rates
Most guys understand this. Have you ever started talking to a girl for a week or two and she totally seems to like you? Then out of nowhere she becomes cold or just...
Kuna utaratibu ndani ya benki ya NBC kwamba Mteja anapokwenda kufungua akaunti kwa Mara ya kwanza anaambiwa ni lazima aache pesa kwaajili ya kugungulia akaunti, fedha hiyo unaambiwa uache kuanzia...
Nimepata bahati kuwa miongoni mwa vijana wachache kuonana na mtu huyu nami ckusita kumuuliza swali kuu ambalo kila mmoja angemuuliza "Nini nifanye nifanikiwe"
Majibu yake ni haya
1.Have a long...
Binafsi sio mpenzi wa maigizo wala movie za bongo.
Lakini ukiwa na TV ukafungulia kwa bahati mbaya Chanel za kiswahili kwasababu mbalimbali...
utakuta movie nyingi wana act katika namna inayo...
wale ma-handsome na ma-beauty wanachukiwa sana kulinganisha na wale wabaya. Chuki hii imeegemea kwenye wivu hasa.
Na ukiwa mzuri ukifanya kosa , mwangi wake unasikika sana kuliko ukiwa mbaya...
Wanasaikolojia Wanasema mtu pekee atakaeweza kufurahia na Kumudu maisha ya dunia hii karne ya ishirini na moja na kuendelea ni kuwa na akili badilishiki, inayokumbatia mabadiliko haraka (agility)...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka,tupia hapo kiwanja unachokimiss miaka ile maalum kwa kujirusha. Mie naanza na DDC Kariakoo nilikuwa napakubali sana.
Karibuni,maana aah ya kale dhahabu.
Sent...
Ndugu wana jf. sasa hivi barabara ya mandela kipande cha tazara kuelekea buguruni mpaka ubungo magari hayatembei nimasaa mawili sasa,inasemekana kuna kiongozi anataraiwa kupita nyerere road...
Dunia ina mambo!
Ukishangaa ya popobawa na haya utasemaje? Watu huko wanatumia uchawi kuiba nyeti za wenzao. Dah!
'Penis-snatching' city crime wave spreads to remote village in Central Africa...
Habari za jioni jf
Nimekuwa nikijiuliza sana juu ya misaada tunayopokea kila kukicha hatima yake ni nini kwa taifa hili na kwa kiasi tulichofikia tutalejesha vipi hisani hizo.kisha ni lini sisi...
Wengi wetu bila shaka umeshawahi kumuona au kumsikia mcheza sinema maarufu duniani kwa kipindi hicho ambaye kwa sasa ni Gavana wa jimbo la calfornia, Anord Shwarzenegger. Enzi zake alicheza sinema...
Katika zile dalili kubwa kumi za mwisho za kuashiria ukaribu wa siku ya mwisho/Judgment Day/Qiyamah (Rejea part 1 ikiwa haukupitia), kuna dalili kubwa kadhaa ambazo zimesha jitokeza kulingana na...