Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nashangaa sana kuona vijana wengi tunaendelea kuwa maskini katika Karne hii ambayo imejaa fursa kibao just imagine watu kama kiboko ya wachawi , na manabii kibao Akina chif godlove wanatajirika...
6 Reactions
15 Replies
360 Views
Kwa muda mrefu, wazazi wamekuwa wakiamka na presha za usafiri wa watoto wao—wakati mwingine mtoto anaondoka nyumbani akiwa na matumaini, anarudi na hadithi ya huzuni tupu. Hata hivyo, nyuma ya...
3 Reactions
4 Replies
190 Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema mawazo ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere akiwa Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda aliandika kitabu cha kutetea...
1 Reactions
2 Replies
141 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ameelekeza hatua za haraka zichukuliwe kuwarejesha wafanyabiashara wa Soko la Mawasiliano (Simu 2000) ili kuendelea na...
1 Reactions
6 Replies
288 Views
Anonymous
Mimi ni mdau kutoka Kijiji cha Olchoronyori Wilaya Simanjiro, Serikali imepasahau tunaomba itembelee huku ione changamoto zilizopo. 1. Tunaomba kujengewa mnara wa Mtandao wa Vodacom, TIGO au...
0 Reactions
2 Replies
227 Views
Tuendelele kuvumiliana wakuu. Hoja yangu ina mashiko hvyo naomba nisikilizwe. Ukisoma kitabu flani cha wasabato kinachoitwa Great controversy (Between {God}Christ and Satan ) Au kwa jina...
6 Reactions
63 Replies
654 Views
Tumia mitandao ya kijamii kujenga thamani yako. Vijana wengi wanatumia mitandao ya kijamii kufutilia thamani za wengine kuliko kujenga za kwao hili nao wafutiliwe na wengine wajifunze maisha...
2 Reactions
4 Replies
226 Views
A cloud of uncertainty and concern hangs over the newsroom of Tanzania investigative weekly, Pambazuko following a troubling break-in that occurred on the night of April 9, 2026. Unknown...
1 Reactions
1 Replies
213 Views
Aprili 2, 2026 Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema nyumba zinazojengwa kwaajili ya...
3 Reactions
18 Replies
335 Views
Kumekuwa na mjadala kuwa waumini wa dini zote hizo mbili wanaabudu mungu mmoja, lakini kuna namna ukitazama unaona kama ni ibada za sanam.......
4 Reactions
16 Replies
253 Views
Hii inatafakarisha sana. Huyu kiumbe Jin anamlazimisha Muhamad kusoma. Maskini Muhamad hakuwa ameenda shule. Kama ni Malaika basi alipaswa awe na hizo taarifa. Lakini hakupewa. Akawa anamlazimisha...
0 Reactions
11 Replies
476 Views
1) ONE currency pesa moja digital currency..ambapo hutaweza kununua wala kuuza bila hiyo(micro chip --chapa ya mnyama 666 chapa ya shetani. inaanza na kuanguka vibaya kwa US Petrol dollar US...
2 Reactions
16 Replies
334 Views
Zek 8:15 SUV [15] vivyo hivyo nimeazimia katika siku hizi kuutendea Yerusalemu mema, na nyumba ya Yuda pia; msiogope. Kila mmoja anahitaji kufanyiwa jambo jema na Mungu, jambo la kuonekana...
3 Reactions
1 Replies
119 Views
Wameondoka na sh ngapi kwenye account yako?
3 Reactions
10 Replies
212 Views
kuna watu wanafanya umri wa kuzaliwa kama ni mashindano, na pale wanapogundua wao ni wakubwa wanafarijika na wanajisifia sana vitu vitokanavyo na ukubwa wao watu wa namna hii huwa...
2 Reactions
2 Replies
126 Views
Ni kwa nini katika Uislamu wanawake na wanaume hawachanganyikani katika chumba kimoja msikitini?
5 Reactions
159 Replies
2K Views
Jaji Mkuu wa Tanzania, Jaji George Masaju katika ufunguzi wa wiki ya Usuluhishi Aprili 09, 2026 Wiki ya Usuluhishi, inayofanyika katika Ukumbi wa PSSSF Golden Jubilee Tower jijini Dar es Salaam...
2 Reactions
12 Replies
498 Views
Leo nimepita nimekuta wese linasima 3820, nikashangaa sana nikaamua tu nijaze full tank, kwasababu najua baada ya muda huenda yatafika 5700, kama hali itaendelea kua mbaya baada ya muda...
8 Reactions
19 Replies
422 Views
Nipo kwnye hatua za mwanzo hutengeneza business idea kwa ajili ya biashara maeneo ya migodini Leo nimeamka na hili wazo naomba ushauri. 01.kuuza miwani za KAZI kuzuia vumbi 02.kuuza mining safety...
4 Reactions
3 Replies
165 Views
Anonymous (0743)
Umbali kutoka kyela-mbeya mjini ni km 83 nauli ilikuwa sh.7,000...imepanda Hadi sh.10,000. Pia umbali Toka tukuyu-mbeya mjinj ni km 45 nauli ilikuwa sh.4000 imepanda Hadi 5000. Pia umbali Toka...
1 Reactions
1 Replies
278 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…