Hii ni zaidi ya hatari wakuu
Hawa wachina naona wanaisoma namba kiaina yaani king'amuzi cha antenna 80000?
Halafu kikiisha unalipia khaaaa?hii sasa kejeli
Yale madishi ya chekecheke ya zamani yaliokuwa yanajinasia yenyewe sikuhizi mbona siyasikii ? haya makampuni yatatufilisi 1.LUKU 2. MAJI 3. KINGAMUZI 4. VOCHA ZA SIMU????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.