Jana Clouds mwewe wao katuonesha jinsi barabara zetu zinavyoharibika kutokana na kupitishwa mzigo mzito..... nikawaza saaaaana hadi nikafika kwenye neno "hii nchi ni ya ajabu sana" yaani sijui tumefikaje hapa... hizi barabara wala sio za muda mrefu.... yaani pesa za walipakodi ndio zimepotea hivihivi....
Serikali lazima iwamulike TANROADS na wizara ya ujenzi WHY tumefika hapa?
Serikali lazima iwamulike TANROADS na wizara ya ujenzi WHY tumefika hapa?