Majeruhi watatu ajali ya Wanafunzi Arusha Kurejea Nchini Kesho Kutwa August 18, 2017

Donep

Member
Feb 22, 2017
35
53
Watoto watatu walionusurika kwenye ajali ya basi la wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent ambayo ilipoteza maisha ya wanafunzi 32, wanatarajia kurejea nchini August 18, 2017 baada ya kupatiwa matibabu Marekani.

Mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu ambaye alikuwa mstari wa mbele kusimamia shughuli ya kuwasafirisha, amesema ratiba ya mapokezi itaanza mapema zaidi ambapo itakuwa saa Moja asubuhi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, ‘KIA’ ambapo Makamu wa Rais Samia Sulu Hassan atawaongoza Watanzania.

”Watawasili tarehe 18, 2017 wiki hii wakiwa wanaletwa na ndege ile ile iliyowachukua na ratiba inaanza mapema kidogo saa moja asubuhi, wananchi na wanafamilia wanatarajiwa wawe wamefika uwanja wa KIA, Kutakuwa na viongozi mbalimbali na tunatarajia makamu wa Rais kuwa mgeni rasmi.” Amesema Lazaro Nyalandu.
 
Wanasiasa hawachelewi kutafuta kick hata kwenye jambo lisilohusika
 
Wanawahi Pepa eenhhh Necta bhana hata Kuwasogezea pepa Mwezi wa 11?

Lema Hapo wamuangalie sana atalilia Mic
 
Watoto watatu walionusurika kwenye ajali ya basi la wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent ambayo ilipoteza maisha ya wanafunzi 32, wanatarajia kurejea nchini August 18, 2017 baada ya kupatiwa matibabu Marekani.
Mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu ambaye alikuwa mstari wa mbele kusimamia shughuli ya kuwasafirisha, amesema ratiba ya mapokezi itaanza mapema zaidi ambapo itakuwa saa Moja asubuhi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, ‘KIA’ ambapo Makamu wa Rais Samia Sulu Hassan atawaongoza Watanzania.
”Watawasili tarehe 18, 2017 wiki hii wakiwa wanaletwa na ndege ile ile iliyowachukua na ratiba inaanza mapema kidogo saa moja asubuhi, wananchi na wanafamilia wanatarajiwa wawe wamefika uwanja wa KIA, Kutakuwa na viongozi mbalimbali na tunatarajia makamu wa Rais kuwa mgeni rasmi.” Amesema Lazaro Nyalandu.
Wangejikalia huko huko maja kwa moja, wanakuja wapi jahanamu?
 
Back
Top Bottom