Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama mzazi nimesikitika sana. Leo kulikuwa na mahafali ya watoto wa chekechea na wale wa darasa la saba. Wazazi tulichangishwa sh 72,000 kwa kila mtoto kwa ajili ya mahafali. Cha ajabu leo ambayo...
3 Reactions
72 Replies
17K Views
Wewe uwe CCM, wewe uwe CHADEMA, wewe uwe CUF n.k linapokuja suala la maslai kwa taifa tusimame kwa umoja. Hoja ya msingi ikitolewa yenye tija kwa taifa tusianze kuangalia umetolewa na nani? Hata...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Mtaani hapa kuna nyumba 3 zimepigwa mnada kutokana na madeni ya mabenki. Fedhea kwa familia niliyoiona ni huruma Jamani msiombee yakukute haya utakufa kwa presha. Bora ya BOMOA BOMOA unajua...
4 Reactions
0 Replies
865 Views
Nyuzi mbalimbali zinatikisa hapa nadhani wadau mnafahamu maana ya promo kama kuna Uzi uliusoma na ukakugusa au ukakuburudisha na ungependa na wenzako wausome Ili waelimike basi hapa ndio mahala...
0 Reactions
1 Replies
635 Views
Kuna ajali mbaya imetokea Leo Aug20 maeneo ya galapo babat baada ya gari aina ya Noah kuacha njia na kupinduka na kujerui abiria wote huku wengine wakijeruiwa vibaya na kukimbizwa hospital ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
ASKARI Magereza aliyekuwa akifanya kazi katika Gereza Kuu la Butimba lililopo katika Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza , amekufa baada ya kujimiminia risasi tatu kichwani. Akithibitisha tukio...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Habari wanajukwaa.... Mimi kama kada wa CCM mwenye Mawazo Huru,ninayekubali kukosolewa na kukusoa panapobidi hata iwe ndani ya Chama Changu,naomba nipingane vikali na Serikali juu ya kinachofanywa...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
TAARIFA TULIKUA KWENYE MECHI YA MPIRA HAPA NJE UWANJA WA TAIFA , POLISI WAMEKUJA WAMETUWEKA CHINI YA ULINZI KOSA NI KUVAA JENZI ZENYE LOGO YA CHADEMA, WAKATI JENZI ZA UMOJA NI USHINDI NA ZA CCM...
20 Reactions
81 Replies
10K Views
Siku karibia vituo vyote vya runinga havitupi updates muhimu za hali ya hewa...ni wakati sasa mfahamu kwamba hizi smartphone msidhani kila mtu anazitumia kupata weather updates,hebu rudisheni...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Wahenga walisema, subira yavuta heri. Lakini inaonekana kama huu msemo unapoteza uhalisia baada ya kampuni ya ACACIA Kugeuza kibao na kukusudia kutushtaki na kudai fidia ya trilion 4 kwa kosa la...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu tunarudi kule kule tulikotaka baada ya kufilisika 30 yrs back Nashangaa hatujifunzi, mifuko ya jamii ni mali ya umma, hiyo COMMITMENT ITATOKA WAPI ?
0 Reactions
0 Replies
627 Views
01.[emoji117] Wale wanafunzi walioongoza Mashuleni, wanaenda kwenye Engineering na Medical school. 02.[emoji117] Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa wanafunzi...
1 Reactions
1 Replies
680 Views
Wadau naweza pata wapi kitabu cha Njama kilichondikwa na marehemu Musiba humu jamii forum?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau heshima kwenu, Hope humu kuna watu wengi walishafanya hii biashara na kujua changamoto zake, nimeoa wilaya moja mkoani kwetu huko kuna fursa ya kufungua ka-kiwanda kidogo cha kutengeneza...
1 Reactions
4 Replies
882 Views
Kuna kituo cha runinga kijulikanacho kama Star Swahili kinaonesha filamu zisizoendana na maadili yetu. Leo jumapili muda huu (saa tisa alasiri) kunafilamu inaonekana watu wanavuana nguo,kuna dada...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Chukulia wewe na kaka yako mmerithi shamba kubwa sana la kahawa. Humpendi kaka yako unatamani afe ili shamba libaki mali yako. Siku moja ukagundua kaka yako amekodisha kwa mzungu shamba lote...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Utawezaje ku-deal na situation au mtu wako wa karibu asiye penda maendeleo yako? Yawe ya kiroho ana ku-discourage, ya kiafya utasikia "unajisumbua tu na hayo mazoezi" yaani no support at all.Ebu...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Taharuki imeongezeka baada wa wachimbaji wadowadogo kuvamia eneo la Makazi ya watu na kuanza kuchimba. Malalamiko ni pale wanapovamia kiwanja na kuanza kuchimba bila makubaliano na mwenye kiwanja...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Walasalam, Naomba kama Kuna Mfanyakazi Yeyote wa Vodacom atusaidie wapi tunaweza peleka lalamiko likatatuliwa bila kusumbuliwa na Majibu ya hao Customer Cares. Hivi Majuzi Vodacom wameintroduce...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimefanya utafiti wa ubora wa mabati Tanzania, nimegundua ubora ni uleule kwenye viwanda vyote Tanzania, wanachotofautiana ni ukunjaji wa migongo tu; lakini roller za mabati wote wanaagiza kutoka...
13 Reactions
51 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…