Serikali kupitia Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) inatekeleza mradi wa Kongani la Viwanda vya Korosho wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 300 katika eneo la Maranje, Halmashauri ya Mji...
Tukate mzizi wa fitna, isije ikawa ni story za mitaani au mitandaoni ni tofauti na uhalisia
Wewe kama muislam ukiwa na wazazi, ukiwa madrasa au utotoni uliwahi kufundishwa kuchukia wakristo ...
Habari JF, Tanzania ina vijana wengi wenye nguvu, elimu na ndoto kubwa za maisha. Lakini changamoto za ajira, gharama za maisha, mitaji midogo na ushindani wa biashara zinaendelea kuwa sehemu ya...
Kwenye vituo vya mabasi na maeneo yenye msongamano mkubwa wa watu, kama Mbezi, tunaomba Serikali ijenge vyoo vya umma vinavyopatikana kwa urahisi.
Vyoo hivyo vitasaidia wasafiri, wanaowasindikiza...
Ilikuwa 2022 tuko kijiweni mida ya saa tano asubuhi, muda huo tume paki Pikipiki tuna piga stori, mara ikaja gali ndogo ya abiria akawa ameshuka jamaa ana begi dogo Mgongoni.
Kama ilivyo kawaida...
Kila kitu ni kwa kiasi, nikweli pesa ni muhimu lakini usikutawale kupitiliza, mpaka ukakosa utu
Kuna siku nilikuwa na jamaa yangu tulipata kazi sehemu, tumefanya hiyo kazi, ikafikia hatua...
SHAHADA HESHIMA YAKE IONEKANE KATIKA KAZI
Adeladius Makwega – MBAGALA
Nilipokuwa nasoma Chuo Kikuu katika Shahada ya Sanaa ya Habari, nilifundishwa somo lililoitwa Cultural Anthropology...
Uchambuzi wangu ni huu.. Je kuna nilichosahau?
Maisha ya uswazi" ni msemo unaoelezea mtindo wa maisha katika makazi ya watu wa kipato cha chini au maeneo yasiyopangwa vizuri (slums/informal...
Miaka kadhaa mara baada ya kuangaika hapa na pale kutaguta ajira nikafanikiwa kuajiriwa ofisi moja ya umma
Kwangu lilikuwa jambo la heri sana kupata kazi, na kwa wazazi wangu walifurahi sana...
1. Wakala wa vipimo (WMA).
Wakala wa vipimo ulianzishwa ili kuleta usawa kwa mlaji na mtoa huduma lakini vituo vya mafuta vinadhulumu walaji.
Sasa hivi bei ya mafuta iko juu na vituo vya mafuta...
Binafsi sidhani kama mwanamke wa kiislamu mjane na ambaye inasemekana ni rais akumbatiwe namna hii.
Kwa maoni yangu ninavyoona sio sahihi.
Jamaa ukumbatiiaji umevuka mipaka.
Habari za usiku wakuu, samahani Nina shida kule Ali express.Nimeshaagiza mizigo mara kadhaa na ikafika yote.Ila Nina kama mwaka sijaagiza,juzi nikaagiza sasa ninaona Kuna kuna kitu kipya sikuwahi...
Huyu mpumbavu alikuwa anatafuta sana kutrendi kimataifa, kajaribu ujinga ujinga mwingi bila mafanikio.
Ila hapa kajipatia alichokuwa anataka kuwa sasa hata Mfalme Chalesi wa Uingereza anajua kuna...
Katika kitabu cha Waamuzi 11 kuna bwana mmoja alimtolea mungu nadhiri ahadi ya kwamba mungu akimsaidia akashinda vita dhidi ya maadui wake kiumbe chochote cha kitakachokuwa cha kwanza kuja...
Leo nimeenda zahanati ya serikali bhana. Nikaandikiwa vipimo nilivyotakiwa kupima, nikapewa bili ya Sh16,000. Nikalipia na kwenda maabara. Huwezi kuamini, maabara wamechukua mkojo na damu, lakini...
Binti anayefahamika kwa jina la Irene, mwenye umri wa miaka (24), mkazi wa Mtaa wa Lemara, Kata ya Lemara, Jijini Arusha, amefariki dunia baada ya kudaiwa kujeruhiwa kwa chupa wakati akiwa pamoja...
Kijana MWENZANGU acha kukata tamaa maisha yanawezekana ni kuamua na kusimamia ndoto zako.
Nilimaliza form 4 mwaka 2017 ndoto zangu ni kuwa doctor lakini matokeo yalipotoka Aiseee sikuamini...
Mchakato wa kujiunga na Freemasonry unafuata utaratibu rasmi na wa hiari, tofauti na dhana za mtaani kwamba watu hualikwa au kulazimishwa.
Hatua Kuu za Kuingizwa Uanachama:
Ombi la Hiari...