Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Account ya Twitter ya mwanahabari maarufu Millard Ayo imekuwa suspended, account hiyo nimoja ya account zenye wafuatiliaji wengi zaidi Tanzania Sababu ya kufungiwa haijajulikana ila Twitter...
0 Reactions
30 Replies
11K Views
Habari wanabodi... Mnamo tarehe 30.3.2016 Waziri Mbarawa aliwaambia wadau kwamba serikali imekubaliana na Shirika la kutengeneza ndege la Canada na ndege hizo zingeingia nchini ndani ya siku 60...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Hichi king'amuzi ni majanga walah mara 100000 Fb page yao hawajaapdate wala hawajib customer care Wanapost tu tangazo la kingamuzi chao halafu wanasepa mbioooooo!!!!! Wateja wanabaki njia panda...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mkuu wa jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema kwamba uelewa wa watu katika kutambua namna jeshi hilo linavyofanya kazi zake ni mdogo kutokana na wanapo wakamata watu kwa tuhuma za makosa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimefikia hatua ya kuuliza swali hili kutokana na vitendo vya TCRA kunyamaza kimya wakati star times wakiweka tozo kwenye channels za ndani au local channels kama TBC ITV CHANNEL 10 Star tv wakati...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Mpendwa Mtanzania Mwenzangu. Mpendwa "mwanachama" kabla ya Mtanzania. Na wanafunzi wa primary ya umbeya. "Mtawajua kwa matunda yao" Naomba kwanza niwaombe wale wenzangu wenye majibu kabla ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
DC HAPI ATEMBELEA KIWANDA CHA UTOTOLESHAJI VIFARANGA CHA AKM GLITTERS. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ali Hapi ametembelea kiwanda cha kuzalisha mayai na kutotolesha vifaranga cha AKM Glitters...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu lengo sio kunyanyapaa bali ni kushea hisia ulizopata hasa baada ya kuambiwa "vipimo vyako vinaonyesha umeathirika". Ulijisikiaje baada ya maneno hayo. Wakuu binafsi sijapima bado ila sipati...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ukiwa unauingia uwanja huu wa kisasa na mkubwa kuliko ata viwanja vingi barani ulaya na Africa, unakutana na bango kubwa mbele yake linaloutambulisha uwanja huo kwa majina ya 'Tanzania National...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Wakuu hii namba ilinipigia lakini bahati mbaya katika mazingira nilipokuwa sikuweza kusikilizana nae huyu mtu, nikamwambia apige badae ila hakupiga tena. Binafsi nimejaribu kumpigia imeshindikana...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Watu 32 wamefikishwa mahakamani kujibu shtaka la mauaji ya wanawake watano yaliyotokea katika Kijiji cha Undomo Kata ya Uchama wilayani Nzega. Miongoni mwa waliofikishwa mahakamani leo Jumatatu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Najerea maeneo nyeti kidogo kwa shughuli hii: 1. Malindi na Mekus ~ Moshi 2. Kahumba night park ~ Morogoro 3. Picnic, Shivas, Matako Bar etal ~ Arusha 4. Chako n Chako , UDOM ~ Dodoma 5...
1 Reactions
23 Replies
10K Views
PADRI Paschal Luhengo wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mahenge, Parokia ya Lupiro wilayani Ulanga mkoani Morogoro ameiomba serikali kuingilia kati na kutokomeza wimbi la wezi wa mtandao ambalo...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Hawa watu wamekuwa wakiandika posts nyingi kwenye ukurasa wao wa Facebook zenye nia ya kufarakanisha na saa nyingine kuleta mshtuko ili wapate watembeleaji kwenye mtandao wao na comments nyingi...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Kwa wenye kuishi Dar es salaam, naomba mnitajie ni redio gani inayopatikana kwenye 103.3 mhz fm? mbona muda mwingi wao wanarusha matangazo kwa lugha ya Kiingereza??
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mama Janeth Hiza
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kipindi cha Tuzungumze Magazeti kinatakiwa kianze saa 12.30 asubuhi lakini cha kushangaza kinaanza saa 12.35 au hata zaidi ya hapo. Pili kwa siku za karibuni wamekuwa wakisoma tu vichwa vya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwalimu wa shule ya msingi katika kata ya Ligunga tarafa ya Matemanga wilaya Tunduru mkoani Ruvuma Rajabu Morisi amefikishwa katika Mahakama ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wake na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…