Guys waambieni madereva wote yakuwa kuover speed kwa sasa ina fine 3 kwa pamoja. Kosa moja unalipia Kama ifuatavyo:
1. Traffic 30,000
2. Sumatra 80,000
3. Tan road 90,000
Jumla like 200,000...
LEO KATIKA UCHUMI
Deni la taifa ni nini? (National Debt)
Deni la taifa ni pesa taslimu au rasilimali iliyokopwa na serikali kutoka kwa mashirika ,makampuni mabenki, taasisi au watu binafsi ndani...
Inanitokea mara nyingi watu kunifananisha na watu walio onana mahali pengine. Hili jambo libatokea kwa watu wengine pia!? Na hili jambo lina ashiria nini!!?
Habari wakuu,
Nimeona niwashirikishe hoja binafsi leo tupate kushirikishana maarifa na uzoefu.
Nimekutana na hali ya kushangaza sana kila ninakopita. Watu wadogo kwa wakubwa hunifananisha na...
Wadau amani kwenu
Kama nilivodokeza hapo juu,nipo Kibaha picha ya ndege na nahitaji kununua mbuzi jinsia yyte ilimradi anafaa kwa kuchinjwa...Kuna ligi ya mpira inaisha ijumaa hii na mshindi wa...
Wadau habari zenu!
Leo nimefika kwenye biashara yangu nimekutana na barua wakinitaka kununua mashine ya efd na wamenipa siku 7 la sivyo watakuja kupiga makufuli, Je hii ni sawa maana nina mtaji...
Walipotangaza jua litapatwa leo nikaamua sinema hiyo niifuate angani niione bila ya kuhadithiwa.
Nilichoambulia ni usiku wa ghafla kwa dakika tano anga lote giza baadaye jua likatoka tena ghafla...
Tuna haki ya kulipa kodi lakini tuna haki ya kujua jinsi fedha hizo zinavyotumika; kufanya makosa yanaleta matumizi ya ovyo ya fedha zetu hatutaki Maana tunaumia!
Ahmed Hussein alikuwa miongoni wa maelfu ya watu waliokimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Somalia na kusaka maisha bora nchini Canada. Safari Ya Ahmed ilianzia Mogadishu na kuingia Canada...
Habari zenu ndugu zangu.Naomba msaada wenu juu ya suala la risiti.
Naishi Dar es salaam, leo wamekuja maafisa wawili nyumbani ninapoishi wa kikundi cha Dar es salaam environment "halmashauri ya...
Habari wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyojieleza, jana majira kama haya saa mbili kasoro nilinunua kifurushi cha 5000. Mambo yakawa fresh nikapata huduma ya Chanel zao.
CHAKUSHANGAZA leo...
Two years ago Evan Spiegel came up with the app Snapchat as a college project. This week he turned down a $3 billion cash offer from Facebook to buy the company (!)
What makes a 23 year old...
Wakuu habari za kutwa matumaini yangu mmeshinda salama, twende moja kwa moja kwenye mada. Hii leo asubuhi saa nne na nusu nipo petrol station pale banana, ukapita msafara mkubwa wa askari...
Zoezi la ukaguzi wa mabasi katika vituo na udhibiti wa mwendo kasi wa magari katika barabara serikali imeweza kufanikiwa kwa kuzuia ajali nyingi zinazosababishwa na ubovu wa magari pamoja na...
Hiyo ni kwa mujibu wa kikao cha kamati ya mawasiliano na uchukuzi ya Baraza la wawakilishi Zanzibar mbele ya wanahabari leo.
Katika taarifa yao wameeleza kuwa Wazanzibari wanasikitishwa na...