Habari wana JF.
Katika mfumo uliopita uliokuwa unatumiwa na Traffic kunakili makosa ya madereva/magari , ungepiga *152*75# ungepata taarifa zote i.e sababu ya Faini, kiasi cha kulipa, reference...
Kuna ajali imetokea huko HUNGUMALWA wilayani Kwimba barabara ya MWANZA kwenda Shinyanga imehusisha Basi la kampuni ya Frester lilikuwa linaelekea Kahama likitoka Mwz pamoja na Lori lililokuwa na...
Hili ni tabiri linalosemwa sena na hawa mashoga, kwamba mpaka mwisho wa mwaka 2050, basi mashoga watakuwa ndiyo watawala wa dunia!
Ni tishio sikatai, je yamaanisha vizazi vyetu vitatoweka?! Watoto...
Kuna ajali mbaya imetokeo muda huu maeneo ya Matumbi Darajani.
Ajali iyo imehusisha daladala la DCM linalofanya route toka Sim 2000 to Gongolamboto na lorry la scania.
Hali ya Daladala...
Ni wajibu wa kila mtanzania kuilinda na kuiheshimu nchi yetu(kiusalama na kiuchumi),hakuna mtu kutoka nje atakayeweza kuilinda nchi yetu. Tufuate sheria na taratibu zilizowekwa,kama hujui jambo...
Ndugu wana JF, ninatafuta kampuni ndogo ya mjasiriamali mdogo kama mimi, ambaye ataweza kunitengenezea na kuweka nembo mifuko ya plastic kwa ajili ya mikate.
Kama ukinywa damu kasi kidogo sana (labda vijiko vichache vya chai), na iwapo damu hiyo haina vijidudu vya bakteria au virusi vya magonjwa, basi damu hiyo yaweza isiwe na madhara kiafya. Kama damu...
Wanajamii forum nashukuru Mungu kwa kunipa motto wa kiume mwezi mmoja uliopita. Ila kuna kitu kimenishangaza sana na nimejaribu kutafuta majibu ya kisayansi hadi leo bado sijapata hasa jibu...
Katika ulimwengu wa waganga na wachawi, kuna kundi la wanaume ambao hujulikana kama WANAUME WANAOPITA DUNIANI BILA KUONEKANA au WANAUME WANAOPITA DUNIANI KAMA VIMVULI...
Walimu tunapata fursa tunazichezea!
Ndio, kwa miaka mingi hapa nchini kumekuwa na matukio ya kunyanyasa au kudhalilisha walimu, na mara nyingi kesi hizo zimehusisha walimu na wakurugenzi au wakuu...
IGP Kamanda Sirro hii imekuwa kero kubwa sana kwa vijana wako wa Jeshi la Polisi kitengo cha traffic kuhusu mabadiliko ya matumizi ya Barabara katikati ya Jiji la Dar es Salama.
Kuliwekwa alama...
Maborn town wengi walio humu JF na wajuzi wa mambo yanayoendelea ndani na nje sitakosa jibu natamani kumjua mwenye hilo jengo hapo Ubungo niliowauliza wamedai la Manji, wengine...
By Inciter-In-Chief.
BAADHI YA WATU MAARUFU WALIOWAHI KUFUNGULIWA MASHTAKA YA UCHOCHEZI.
(1) Namo tarehe 3 April Mwaka 33, Yesu Kristo alifunguliwa mashtaka matatu ya jinai na kati ya hayo moja...
Ni miaka kumi na sita sasa tokea nitengane na baba Kalunde mwanaume niliempenda katika uhai wa maisha yangu
Ugomvi wangu na baba kalunde ni Mimi kuzaa mtoto wa kike mtoto wa kizungu
Baba...
BAADHI ya wasomi nchini wamehoji uzalendo wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu wa kushabikia matatizo ya nchi yake badala ya kuwa sehemu ya kutafuta ufumbuzi.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha...
Jana nilienda katika kituo cha police Oyster Bay kutoa taarifa juu ya kupotea kwa simcards zangu tatu. Nikiwa ninaingia pale getini, afande mmoja akaniambie nishuke kutoka katika gari nikaandike...
Mtu anaitisha Press Conference halafu badala tu ya kutiririka na kuserereka Yeye kama Yeye muda wote anawahutubia Waandishi wa Habari huku akiwa anasoma kutoka katika Karatasi zake kile...
Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dk Jakaya Mrisho Kikwete, pichani akivuna mahindi shambani kwake na mke wake mama Salma Kikwete na kusema kuwa:
"Tunakamilisha msimu wa mavuno Kijijini Msoga...