Ni muda sasa DANGOTE CEMENT imeadimika sokoni na hivyo kupelekea cement zingine kupandisha bei kutoka Tsh.9500/= kwa mfuko hadi kufikia Tsh.11,500/=
Jambo hili limepelekea gharama za ujenzi kupanda.
Je, ni uzalishaji umepungua au umezidiwa na watumiaji wa bidhaa hiyo? tunaomba muwafahamishe wateja wenu.
Nawasilisha.