Salaam!. Ni gazeti lakini jitahidi usome kama umeshawahi kutana na tatizo hili kwenye malipo ya huduma (paybills) kupitia mitandao ya simu, case study M- PESA
Ipo hivi, kila muamala wa mobile...
Neno usaliti limekuwa likitumika vibaya, na kupoteza maana halisi ya neno usaliti.
Maana hasa ya neno usaliti ni kwenda kinyume na makubaliano ya jamii au kundi fulani. Neno usaliti pia linaweza...
Maisha ya watanzania magumu sana kutokana na serikali iliyopo.
.Hakika msipofanya kitu katika kuuondoa huu utawala na vizazi vyake mtapata tabu sana sana nawaambia.
Mungu awaongoze na atende...
Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania aliwahi kuwaambia wafanyabiashara kwmba...
Kama unajuwa kwamba unadaiwa na serikali ni bora ukalipe mwenyewe, natoa siku 7 kwa wadaiwa wote kulipa...
Mkuu wa wa Wilaya ya Chemba hivi karibuni ametoa mbuzi kwa mzazi aliyejeruhiwa kwa kupigwa na Mkuu huyo wa wilaya baada ya mtoto wake kupiga jiwe gari ya mkuu wa wilaya na kupasua kioo kama njia...
ZIMBABWE.
Walioniteka hawakuja na Noah, Niuvumi na visanaga , ila kutekana tekana huu ni uhuni wa kishamba
NILIVYOMUELEWA ROMA MKATOLIKI HAPA NI KWAMBA..
1, Walioniteka hawakuja na Noah, ni...
Nitoe rai kwa waziri na wizara husika, tume ya ushindani na kwa raisi kuangalia kwa ukaribu jambo hili.
Nimefanya uchunguzi mdogo nimegundua madudu haya, uchunguzi wa kina utagundua mengi zaidi...
Habari za mchana?
Yapata majira ya saa 15:40 mchana wa leo,mgahawa wa Cafe la Aziz,Arusha uliopo karibu na stendi ndogo ya Hiace umefungwa na TRA.
Nilikuwa ndani ya mgahawa nikipata chakula...
Dhulhijja ni mwez wa 12 ktk mwaka wa kiiskam, alhamdulillah leo 23/ agusust/2017 milladiyya ni sawa na tarehe 2 dhulhijja 1438 hijiriyya (kwa kalenda ya kiislsm). Cku ya jana hadi kutimia cku...
Waombaji wa Mkopo kwa kujisajili kwa njia ya mtandao kuwa uwezekano mkubwa kukosa mkopo.
1- Waombaji wamekuwa wanalipa pesa kama inavyoelekwa kuipitia mpesa na tigo pesa bila ya mtandao wa bodi...
Kuna njia nyingi za usafiri miguu, gari, boti, ndege, baiskeli, pikipiki etc njia hizi za usafiri zote ni sawa kulingana na uhitaji kuna miji ambayo usafiri wa umma umeboresha kiasi kwamba...
Haya ni maigizo ya aina yake. Vijana wanaoomba mikopo ya elimu ya juu wanatakiwa kuhakikiwa vyeti na RITA na gharama ya kuhakiki cheti ni Tshs. 3000/=
Kiukweli serikali yetu imejaa kila aina ya...
Habari Comrades..
Kumekuwa na kilio kikubwa cha Bomoabomoa ya nyumba za wananchi wa Eneo la Kimara Mwisho kuja hadi Maeneo ya Stop Over na Suka (along old and new Morogoro road)..
Ni kilio...
Kwa hakika nimekuwa nikijiuliza ni kwanini hatuioni hii kampuni ikipita ktk wasambazaji na wauzaji wa bidhaa yao ya konyagi kukamata bidhaa bandia?
bidhaa bandia ya Konyagi inauzwa karibu ktk...
Poleni sana watanzania wenzangu mliobomolewa nyumba zenu. Huyu mtu ni ROHO MUARIBIFU TENA MCHAFU. Mkikumbuka wewe ni mtu gani yani kaingia madarakani tu hata wiki mbili hazikupita kaanza kubomolea...
Kwa takribani siku tatu taarifa ya kushikiliwa kwa Ndege yetu aina ya Bombardier Q 400 huko nchini Canada imekuwa na mjadala mpana kiasi cha kusababisha sisi tunaopenda kupitia maandiko...