PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
Asalam Ndugu wanafamilia wenzangu wa Jf kutokana na kutokuwepo kwa muda sasa jukwaani kutokana na majukum yaliyokuwa yananikabili.
Napenda kuchukua fursa hii kutoa ushauri wangu kwa uongozi wa Sahara Media kwamba niwakati muafaka wa kubadilisha uongozi wa kampuni hii.
Inayomiliki vituo vya Star tv, radio freeafrica, kiss fm.
Niukweli usiopingika kwamba kampuni hii kwa sasa imepwaya sana katika eneo la ubunifu.
Hasa katika eneo la Star tv. Na kingamuzi chao cha Contnental Decorder.
Program ni Mbovu vipindi vinarudiwa hakuna ubunifu station ni nyingi lakini nyingi hazina mvuto kabisa.
Ukiwasikiliza wafanyakazi wanaulalamikia sana uongozi kwamba unafanya kazi kwa mazoea.
Niwakati sasa ndugu diallo akatafuta mtendaji mwenye sifa kama ndugu Tido Mhando wa Azam tv ili aboresha kampuni hii.