Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,318
Wana bodi naomba tujuzane juu ya uhusiano wa kikazi kati ya Yono Auction Mart na TRA unatokeaje na wapi? Kwani sasa ni miaka mingi watu hao wanashirikiana sasa tujuzane ni system gani TRA wanatumia ili kumpata mshirika wa kuendesha kazi za udalali wa kukusanya madeni ya srikali