Kwanini Hitler aliwahasi(castrate) watu wafupi?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,318
Reaction score
12,824
Nimeisikia hii story mara kadhaa ila silioni andiko lake online.
Je ni kwanini aliwahasi wanaume wafupi kwa kimo huyu dikteta? Anaeielewa story yake atiririke tafadhali tupate elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hitler alikuwa anajaribu kutengeneza super race kutokana na akili yake mbovu. kuna decree ilipitishwa watoto wanaozaliwa na matatizo kama ulemavu na mentally handicapped wachomwe sindano za sumu kulikuwa na killing centers.Program hii ya kuua watu iliitwa euthanasia program
Hitler aliamini Aryan race ndio superior kuliko zote na inapaswa kutawala Race zingine Alipoingia madarakani kuna sheria zilitungwa kuwakataza wayahudi wasizaliane na wajerumani wasije kuinajisi mbari ya aryan.Itikadi za kinazi zilikuwa za kibaguzi zikiikweza Race yao na kuziita Race nyingine ni za subhuman na zinapaswa kuwa watumwa wao
 
Mkuu ni kama bado una kitu naamini utarejea tena, asante kwa mukhtasari mwanana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hitler alikuwa anajaribu kutengeneza super race kutokana na akili yake mbovu. kuna decree ilipitishwa watoto wanaozaliwa na matatizo kama ulemavu na mentally handicapped wachomwe sindano za sumu kulikuwa na killing centers.Program hii ya kuua watu iliitwa euthanasia program
Hitler aliamini Aryan race ndio superior kuliko zote na inapaswa kutawala Race zingine Alipoingia madarakani kuna sheria zilitungwa kuwakataza wayahudi wasizaliane na wajerumani wasije kuinajisi mbari ya aryan.Itikadi za kinazi zilikuwa za kibaguzi zikiikweza Race yao na kuziita Race nyingine ni za subhuman na zinapaswa kuwa watumwa wao
Mwanga umenipa
 
Back
Top Bottom